Matapeli ya Kenya yaiba sukari mpakani


Wewe acha kauli za kinyonge.
 
Huko kenya wakikagua vyeti hata wewe utakuwa na vyeti feki maana unavyoshadadia wizi lazima uliiba cheti!
 
Aisee nimecheka mpaka mbavu zinauma[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huko kenya wakikagua vyeti hata wewe utakuwa na vyeti feki maana unavyoshadadia wizi lazima uliiba cheti!

Mtaliwa sana nyie hadi mtie akili na ifike siku muondoe walioghushi vyeti kama akina Bashite maana ndio wapo wengi kwenye uongozini. Si mlisema eti mawaziri na wakuu wa mikoa wanahitaji kujua kuandika na kusoma tu basi, yaani mnategemea sera za nchi ziundwe na watu walioishia darasa la saba halafu mnaishia kulialia kwamba nchi inaliwa.

Aisei nawahurumia wasomi wa Tanzania, maana mtu unazungukwa na viongozi ambao hawajasoma eti ndio wanakuamrisha na kukupa maagiza na kuunda sera.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…