eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Kazi yenu kuibiwa tu, mtaisha jameni maana mnaliwa na kila mtu, Mkenya anawatafuna, Mchina, Msouth Afrika, Mzungu wote wamewapania... Hilo shamba lenu la bibi limebaki mahandaki matupu. Fanyeni hima muamuke maana wenyewe pia ni ovyo mumejaa na vyeti vya kughushi hivyo hata sera hamjui kuzitengeneza na kuzilinda.
Halafu mkiamua kufuata walioghushi vyeti, huwa mnafuata wale wa vyeo vya chini na kuacha akina Bashite eti mawaziri, wakuu wa mikoa na wabunge vigezo vyao ni darasa la saba, yaani darasa la saba ya Tanzania...hadi kicheko jameni, mtaliwa hadi mkome halafu mnaishi kimajungu majungu badala ya kuwa wajanja.
Wewe acha kauli za kinyonge.