Matarajio ya wasafi tv yamekuwa negative kwa wahusika

Wana kazi kubwa sana ya kukamata soko. labda bashite aingilie kati kwa kuinyong"onyeza clouds. Clouds kwenye management wapo creative sana hicho ndo wanachotakiwa kupambana nacho Wasafi TV
 
jamaa walitegema itashika sana aisee lakin naona baada ya mwezi imekuwa kama youtube channel tu au kama tv zilizoanza kwa mbwembwe ila hazikufika popote kama TTV1 Kwanzatv bongonativetv swahili tv yaaani hata milardayo tv japo ni online ina wafuatiliaji wengi kuliko wasafi pole wahusika uwekezajinwa tv ni mgumu zitaendelea kubamba zilizobamba tu

Na kama tv imeshindwa kubamba je radio mtaweza ? Waulizen ufm
Mkuu samahani kukwambia kwanza biashara hujui na hautajua,kwa jinsi ulivyoandika unaonekana wewe ni mwajiriwa.
 
Wangeseek consultancy ya market research kwenye industry ya media ili kucapture consumers' needs and preferences etc. sasa wao wamekurupuka tu wakajiaminisha kwamba umaarufu wao plus kuwaweka akina Wema sepetu kuendesha vipindi kutaifanya tv ibambe which is very wrong.
 
Mkuu hawajafikisha hata mwaka tv ina changamoto tuwape mda
 
Wangeseek consultancy ya market research kwenye industry ya media ili kucapture consumers' needs and preferences etc. sasa wao wamekurupuka tu wakajiaminisha kwamba umaarufu wao plus kuwaweka akina Wema sepetu kuendesha vipindi kutaifanya tv ibambe which is very wrong.
Yaani kila biashara ina strategies zake,sasa hivi wanatest signal (bado TCRA wana waangalia) hata hivyo vipindi vyenyewe bado na kama umefuatilia TV nyingi zikianza mara nyingi huwa wanapiga nyimbo kutest signal na inaweza kuchukua hata miezi sita baada ya hapo sasa rasmi,ndio wanaanza kurusha vipindi ,hapo sasa ndio unawahitaji hao ma-consultancy,sasa from no where uanze na ma-consultancy,hata hiyo content ya kuwapa hao ma-consultancy waipromoti hauna,yaani unavyoongea wewe ni sawa sawa umfuate consultant alafu hujui unafanya biashara gani.
 
jamaa walitegema itashika sana aisee lakin naona baada ya mwezi imekuwa kama youtube channel tu au kama tv zilizoanza kwa mbwembwe ila hazikufika popote kama TTV1 Kwanzatv bongonativetv swahili tv yaaani hata milardayo tv japo ni online ina wafuatiliaji wengi kuliko wasafi pole wahusika uwekezajinwa tv ni mgumu zitaendelea kubamba zilizobamba tu

Na kama tv imeshindwa kubamba je radio mtaweza ? Waulizen ufm
Hivi SIBUKA tv ipo?
 
Wana kazi kubwa sana ya kukamata soko. labda bashite aingilie kati kwa kuinyong"onyeza clouds. Clouds kwenye management wapo creative sana hicho ndo wanachotakiwa kupambana nacho Wasafi TV
Unauelewa fulan ivi wa haya mambo nakuona
 
jamaa walitegema itashika sana aisee lakin naona baada ya mwezi imekuwa kama youtube channel tu au kama tv zilizoanza kwa mbwembwe ila hazikufika popote kama TTV1 Kwanzatv bongonativetv swahili tv yaaani hata milardayo tv japo ni online ina wafuatiliaji wengi kuliko wasafi pole wahusika uwekezajinwa tv ni mgumu zitaendelea kubamba zilizobamba tu

Na kama tv imeshindwa kubamba je radio mtaweza ? Waulizen ufm
Duh TV hata haijaanza vipindi rasmi unasema imefeli? utakuja kuficha sura yako soon...
 
Back
Top Bottom