shayrose
JF-Expert Member
- Jul 12, 2017
- 369
- 411
Mie sijawahi kuona vipindi vizuri clauds tv naona tu nyimbo nyingi nashangaa watu wanavyoiona hakuna kituo kama claudsUzuri wa kitu inategemea na Mtazamo,Elimu na life style yako
Mie kwangu Shilawadu huenda kikawa ndio kipindi kizuri zaid lakin kwako kikawa ndio kipindi kibaya zaid