Sasa si mlisema TV ni ya jo kusaga?
Utawaweza Wabongo ndugu yangu
Enzi hizo kabla ya kufeli Maandamano ilikuwa Kila wanachoambiwa Na Da mange Wao wanameza tu hawataki kutafakari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa si mlisema TV ni ya jo kusaga?
Ikifeli watasema ni ya Diamond ila ikija faulu utaambiwa ni juhudi na ubunifu wa jo kusaga kwakuwa ni yakeUtawaweza Wabongo ndugu yangu
Enzi hizo kabla ya kufeli Maandamano ilikuwa Kila wanachoambiwa Na Da mange Wao wanameza tu hawataki kutafakari
Sallaam SKHivi hii channel ya DIZZIM ni mali ya nani????
Ya SALLAM SK..Hivi hii channel ya DIZZIM ni mali ya nani????
.Fredirick bundala ama sky walker alikuwa mtangazaji wa rfa enzi zile ila naona yupo close sana na wasafi ndo kutwa kuitangaza
Hivi clouds tv ina vipindi gani vizuri?Kama wamekuja ku join kwenye industry ya utangazaji watafikia malengo Yao lakin Kama wamekuja kuwaondoa Clouds wamejipa assignment ngumu sana
Hivi clouds tv ina vipindi gani vizuri?
Kinachotakiwa ni ubunifu na uvumilivu na watafanikiwa. Wanapaswa kuelewa kuwa Watanzania wanapenda sana habari za mipasho na umbea na burudani sana zikiwemo tamthiliya za Kifilipino.jamaa walitegema itashika sana aisee lakin naona baada ya mwezi imekuwa kama youtube channel tu au kama tv zilizoanza kwa mbwembwe ila hazikufika popote kama TTV1 Kwanzatv bongonativetv swahili tv yaaani hata milardayo tv japo ni online ina wafuatiliaji wengi kuliko wasafi pole wahusika uwekezajinwa tv ni mgumu zitaendelea kubamba zilizobamba tu
Na kama tv imeshindwa kubamba je radio mtaweza ? Waulizen ufm
Hao mbuzi kwa dp unauza?Wivu mbaya sana!
Umasikini mbaya sana aisee... Omba Mungu akupunguzie umasikini Mzee babaWapumbavu hao badala waweke iwe free to air wanajifanya iwe inalipiwa..
Yani Discovery tulipie Nat Geo tulipie hadi hizi taka taka sijui Wasafi Azam tulipie?
No way!