George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
Ahahaaaah...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahaaaah...
Haswaaaa. Watz tulio wengi ni wakatisha tamaa sanaNilidhani labda watafiti walikosea kumbe ni sahihi kabisa kwamba tz watu wake ni wenye wivu,tamaa sasa napata picha....
Chizi umelogwa tenaYes wivu wa wasafi kwa clouds sasa unaonekana wazi kuwa walichemka
Watu wengine vilazaMi nadhani walikurupuka kufanya hii investment ya TV
Usibishane na mjitu ambayo inakula ugali wa shikamoo mpaka leo,haiwez ikaelewa yenyewe inachoelewa ukifungua biashara leo hii bac kesho wateja kibao .Clouds imeanza mwaka gani
mjitu ambayo inakula ugali wa shikamoo mpaka leo,haiwez ikaelewa yenyewe inachoelewa ukifungua biashara leo hii bac kesho wateja kibao.Hata hii jamiiforums ilichukua miaka zaidi ya mitano mpaka Leo hii hata we mjinga unaifahamu.jamaa walitegema itashika sana aisee lakin naona baada ya mwezi imekuwa kama youtube channel tu au kama tv zilizoanza kwa mbwembwe ila hazikufika popote kama TTV1 Kwanzatv bongonativetv swahili tv yaaani hata milardayo tv japo ni online ina wafuatiliaji wengi kuliko wasafi pole wahusika uwekezajinwa tv ni mgumu zitaendelea kubamba zilizobamba tu
Na kama tv imeshindwa kubamba je radio mtaweza ? Waulizen ufm
kwakuwa sistahiki kuwa nae ...au ??Duh na wewe una mtu wa kum Cc!!!??
Mimi ni tax consultant nimejiajiriZipo ilipo wasafi tv mzee baba usiite takataka wakati maboss wako kutwa kui promote
Mashabiki wa wcb wote wanaangalia tv kwenye mabanda. Hakuna mtu mwenye heshima atafuatilia utumbo wa watu malimbukeniAcha uchawi wewe, ndiyo kwanza wako kwenye majaribio hata vipindi havijaanza.