Matarajio ya wasafi tv yamekuwa negative kwa wahusika

Matarajio ya wasafi tv yamekuwa negative kwa wahusika

Uzuri wa kitu inategemea na Mtazamo,Elimu na life style yako

Mie kwangu Shilawadu huenda kikawa ndio kipindi kizuri zaid lakin kwako kikawa ndio kipindi kibaya zaid
Mie sijawahi kuona vipindi vizuri clauds tv naona tu nyimbo nyingi nashangaa watu wanavyoiona hakuna kituo kama clauds
 
Umasikini mbaya sana aisee... Omba Mungu akupunguzie umasikini Mzee baba
We taaira kweli kweli...ninachofanya ni VALUE FOR MONEY mf!
Yani utoe hela ununue izo takataka? ITV ambayo ni supabrand hailipiwi sembuse izo takataka?
Kwa Tanganyika hapa hakuna TV inayotoa products ambazo any reasonabo person can purchase!
We matako kweli kweli
 
Umasikini mbaya sana.. Trust me, ni mbaya sana. Komaa na TBC, maana kama hujalipia kifurushi cha Azam hata hii ITV huipati...
 
Umasikini mbaya sana.. Trust me, ni mbaya sana. Komaa na TBC, maana kama hujalipia kifurushi cha Azam hata hii ITV huipati...
We mavi iyo Azam Tv hata siku moja sijawai kuiangalia....
Halafu we choko mimi natumia Digital Receiver Tv zote za Tanganyika nazipata Free to Air na nyingine 130..
ndo mana unavoniambia mambo ya kulipia vifurushi nakuona kama mseng.e baridi vile.
Mwenzio Mashauzi amekufa juzi kwa kansa ya mkun.du bado ww endelea kuquote wanaume tuu
Na kujiita majina ya wanaume na kuweka picha zao
 
Hakika na wewe umeliona
Wabongo ni wanafiki sana!
Angalia wote waliowahi kugombana na clouds, mwanzoni utaona kama mpo pamoja ila mwishoni unajikuta uko peke yako!
Refer TID ,vinega,Jide,RamaD,Ruby......
walipata sapoti sana ya RAIA mwanzoni!

Mwanzoni nakumbuka ilikuwa kila mahali Wasafi TV, Mara clouds Sasa watapotea ila kiukweli zile amsha amsha zimepotea ghafla!

Ni kama enzi zile TVE inaanzishwa humu zilikua thread za kusifia zinaanzishwa kila siku!
Ila Sasa hivi yako wapi?
 
Kilichowadondosha wasafi ua jeusi. Tangu hapo kila wakifanyacho kinabuma

Nasubiria mapovu
31474706_2001831646799746_6479760470201860096_n.jpg
 
We mavi iyo Azam Tv hata siku moja sijawai kuiangalia....
Halafu we choko mimi natumia Digital Receiver Tv zote za Tanganyika nazipata Free to Air na nyingine 130..
ndo mana unavoniambia mambo ya kulipia vifurushi nakuona kama mseng.e baridi vile.
Mwenzio Mashauzi amekufa juzi kwa kansa ya mkun.du bado ww endelea kuquote wanaume tuu
Na kujiita majina ya wanaume na kuweka picha zao
Hahaha... Kumbe umasikini unaleta stress kiasi hiki?? Hahahaha.. Mitusi yote ya nini Mzee baba? Kujitia mjanja kumbe unalala sebuleni kwa Shemeji yako... Hahahahahaaa
 
Hahaha... Kumbe umasikini unaleta stress kiasi hiki?? Hahahaha.. Mitusi yote ya nini Mzee baba? Kujitia mjanja kumbe unalala sebuleni kwa Shemeji yako... Hahahahahaaa
Yani mseng.e baridi utamjua eti "hahahahha"
Jishtukie wali nazi ww
 
Naona watu wanagombana hapa kwa ajili ya mali ya mwanaume mwenzao.
 
Hakika na wewe umeliona
Hiki ulichoandika Kuna Siku nilimwambia mdogo wangu flani juzi amenikumbusha!
Team wasafi watatoa povu sana ili ulichoandika Ndio ukweli kabisa
 
jamaa walitegema itashika sana aisee lakin naona baada ya mwezi imekuwa kama youtube channel tu au kama tv zilizoanza kwa mbwembwe ila hazikufika popote kama TTV1 Kwanzatv bongonativetv swahili tv yaaani hata milardayo tv japo ni online ina wafuatiliaji wengi kuliko wasafi pole wahusika uwekezajinwa tv ni mgumu zitaendelea kubamba zilizobamba tu

Na kama tv imeshindwa kubamba je radio mtaweza ? Waulizen ufm
Huo ni wivu broo
 
Back
Top Bottom