Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Izo takataka zipo channel gani? Mbona kwenye digital receiver sizioni?ngoma ngumu now wamehamia kuipromote dizzim tv ya bundala
Sasa si mlisema TV ni ya jo kusaga?Majizo na jeshi lake kachemsha sembuse uyu
Mkuu samahani kukwambia kwanza biashara hujui na hautajua,kwa jinsi ulivyoandika unaonekana wewe ni mwajiriwa.jamaa walitegema itashika sana aisee lakin naona baada ya mwezi imekuwa kama youtube channel tu au kama tv zilizoanza kwa mbwembwe ila hazikufika popote kama TTV1 Kwanzatv bongonativetv swahili tv yaaani hata milardayo tv japo ni online ina wafuatiliaji wengi kuliko wasafi pole wahusika uwekezajinwa tv ni mgumu zitaendelea kubamba zilizobamba tu
Na kama tv imeshindwa kubamba je radio mtaweza ? Waulizen ufm
Mm mwnyw nashangaa eti tunalipia transmission test.Wapumbavu hao badala waweke iwe free to air wanajifanya iwe inalipiwa..
Yani Discovery tulipie Nat Geo tulipie hadi hizi taka taka sijui Wasafi Azam tulipie?
No way!
Ivi dizzim TV ni ya nan?ngoma ngumu now wamehamia kuipromote dizzim tv ya bundala
Yaani kila biashara ina strategies zake,sasa hivi wanatest signal (bado TCRA wana waangalia) hata hivyo vipindi vyenyewe bado na kama umefuatilia TV nyingi zikianza mara nyingi huwa wanapiga nyimbo kutest signal na inaweza kuchukua hata miezi sita baada ya hapo sasa rasmi,ndio wanaanza kurusha vipindi ,hapo sasa ndio unawahitaji hao ma-consultancy,sasa from no where uanze na ma-consultancy,hata hiyo content ya kuwapa hao ma-consultancy waipromoti hauna,yaani unavyoongea wewe ni sawa sawa umfuate consultant alafu hujui unafanya biashara gani.Wangeseek consultancy ya market research kwenye industry ya media ili kucapture consumers' needs and preferences etc. sasa wao wamekurupuka tu wakajiaminisha kwamba umaarufu wao plus kuwaweka akina Wema sepetu kuendesha vipindi kutaifanya tv ibambe which is very wrong.
Hivi SIBUKA tv ipo?jamaa walitegema itashika sana aisee lakin naona baada ya mwezi imekuwa kama youtube channel tu au kama tv zilizoanza kwa mbwembwe ila hazikufika popote kama TTV1 Kwanzatv bongonativetv swahili tv yaaani hata milardayo tv japo ni online ina wafuatiliaji wengi kuliko wasafi pole wahusika uwekezajinwa tv ni mgumu zitaendelea kubamba zilizobamba tu
Na kama tv imeshindwa kubamba je radio mtaweza ? Waulizen ufm
Duh TV hata haijaanza vipindi rasmi unasema imefeli? utakuja kuficha sura yako soon...jamaa walitegema itashika sana aisee lakin naona baada ya mwezi imekuwa kama youtube channel tu au kama tv zilizoanza kwa mbwembwe ila hazikufika popote kama TTV1 Kwanzatv bongonativetv swahili tv yaaani hata milardayo tv japo ni online ina wafuatiliaji wengi kuliko wasafi pole wahusika uwekezajinwa tv ni mgumu zitaendelea kubamba zilizobamba tu
Na kama tv imeshindwa kubamba je radio mtaweza ? Waulizen ufm
Haha samahani mkuuZipo ilipo wasafi tv mzee baba usiite takataka wakati maboss wako kutwa kui promote