Matarajio ya wasafi tv yamekuwa negative kwa wahusika

Clouds imeanza mwaka gani
Usibishane na mjitu ambayo inakula ugali wa shikamoo mpaka leo,haiwez ikaelewa yenyewe inachoelewa ukifungua biashara leo hii bac kesho wateja kibao .
 
mjitu ambayo inakula ugali wa shikamoo mpaka leo,haiwez ikaelewa yenyewe inachoelewa ukifungua biashara leo hii bac kesho wateja kibao.Hata hii jamiiforums ilichukua miaka zaidi ya mitano mpaka Leo hii hata we mjinga unaifahamu.
 
Uelewi maana ya majaribio rudi shule ww. TV bado aija anza kurusha matangazo ni testing tu
 
Bongo tv zenye mpangilio mzuri na maudhui mazuri atleast ni Eatv,na labda itv..hao wengine ovyo tu..wasafi tv bado haijaanza rasmi ila inabidi waache uswahili waweke ueledi mbele..

Tv zipo kenya bana,kuna KTN,hawa jamaa ijumaa wana kipindi kinaitwa friday briefing,aisee ubora wa hiki kipindi ni wa kimataifa..

Kuna citizen tv,hawa jamaa wanajua exactly maana ya tv station..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…