Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

Hata ukabila na kupendelea watu kutoka sehemu fulani. Kipindi cha nyuma ilikuwa vigumu sana kusikia Rais anaenda kupumzika kijijini kwao. Na anafanya maendeleo makubwa kwao. JPM ndiye aliyeanzisha hii na mama anaendeleza Chato imekuwa Kizimkazi na wasukuma wamekuwa watu wa pwani.
 
Acha uwongo,,umeme wa gasi unazalisha na kampuni binafsi kama Songas na Wala siyo KAZI ya Tanesco.Tanesvo KAZI Yao nikuununua umeme huska
 
Kwa nini CAG alitolewa akawekwa mtu asiyekuwa na vigezo ? Yaani bila kuangalia dini au kabila unajua CV ya Mussa Assad ? JPM alikuwa rais wa wajinga na wavivu kufikiri.
 
Shida sio mwendazake maana kaenda zake miaka mingi sasa , shida ni serikali pengine mipango ya serikali ya tano ilikuwa mizuri na ambayo hairuhusu mianya ya rushwa , lakini wengine ili kujitengenezea mifereji ya visenti wakaharibu strategic zilizokuwepo na si kwa ajili ya kutatua tatizo kwa ajili ya public benefit bali kwa ajili yao ...
Mtaendelea kumlaumu Magufuri sana tu si kwasababu alikuwa vibaya kwenye kuongoza bali kwasababu alikuwa akijaribu kuwa extraordinary na sasa nchi inarudi kwenye default mode ya Rushwa lawama anatupiwa yeye.
Sasa hivi uongozi ni dhaifu ,kila anaeteuliwa anawaza kupiga hela unadhani matokeo yake nini??.
 
Ushahidi ulio wazi ni kumfukiza CAG,wewe unataka ushahidi gani zaidi ya huo wa kukiuka sheria?
Mwa maandishi nimesema ambao kuna sehemu imeandikwa 1.5tn iliibwa kipindi chake?

Halafu swali jepesi mbona,maana ripoti niliisoma ila sikuona 1.5t imepoteaje, labda tukumbushane ilikuwa page ya ngapi.
 
Unaubishi wa kijinga na kitoto sana
Sasa nilipo bisha ni wapi? Ripoti nimeisoma sijaiona hiyo sehemu ya 1.5tn imeibiwa. Wewe kama kuna page inasema 1.5t ziliibiwa unaweza niambia.

Unawezekana hata wewe unabisha huku ripoti hujaisoma,ila oya oya za mitandaoni zimekubeba.
 
Kama hairuhusu mianya ya Rushwa Kwa nini Sukari Ilianza kusumbua awamu ya 5? Kama mnaridhika ndio na Sasa endeleeni kuvumilia hiyo mianya iliyozibwa kwani sheria imebadilika si ni Ile Ile?

Magufuli alikuta sukari inauzwa 1500-2000 akavuruga ikaanza kuwa kama bangi na bei kuwa kati ya 3000-4000 na shida hiyo imeendelea Hadi Sasa hivi.

View: https://twitter.com/TanzaniaInsight/status/1760682862905593946?t=YGaZwdRrkAeLtktlHTfp1Q&s=19
 
Umeandika uchafu mtupu
 
Mbona husemi kwamba kipindi chake chote hatukuwa na mgawo. Unamaanisha tulikuwa tunatumia mashine mbovu.
Hizo nzima za awamu hii mbona hatupati umeme?
Umeuliza swali ambalo limeshajibiwa. Ndiyo maana watu makini hupitia kwanza mjadala mzima kabla ya kurukia watu kwa maswali.

Ova
 
Hata wewe huwa unatabia ya kufanya hasty generalisation. Umewahi kutusi jamii yote ya Wasagara kwasababu binafsi za jamaa yako. Huna ushahidi wa kutosha kutuhumu kabila zima as if wewe na kabila lako ni watu wema. Badilika!
Nadhani umenifananisha, sijawahi kuitusi jamii yoyote, mahali popote. Ikikupendeza, niletee ushahidi wa hiyo post.

Ova
 
Hahah ile sukari chafu?

Yaan sukari ya Brazil na Pakistan nayo ilikua sukari?

Maradhii waliyopata watu kwa ile sukari chafu na iliyomaliza Muda wake unayajua?

Magufuli alianza kuishape sekta ya sukari na Viwanda vya ndani vilianza upanuaji wa mashamba. Na Viwanda 3 vilianza kujengwa

Kama unamchukia Magufuli kwenye sukari utakua unakosea sana labda kama uijui vyema sekta hiyo
 
Kwa nini CAG alitolewa akawekwa mtu asiyekuwa na vigezo ? Yaani bila kuangalia dini au kabila unajua CV ya Mussa Assad ? JPM alikuwa rais wa wajinga na wavivu kufikiri.
CAG awezi kuwa mtu asie na vigezo hiyo nafasi ina qualification requirements na work experience.

Halafu CAG hafanyi audit ya taasisi za serikali moja kwa moja wala kuandika report zake, yeye anapokea tu kazi za watu waliojariwa ofisi yake ndio wanaoenda kufanya auditing.

Uhitaji kuwa special wala kusoma ma Phd kufanya auditing you only need an accounting degree na kuwa member wa professional (RQB) any CPA, ACCA or whatever. Na sio lazima hata uwe na degree kuwa qualified accountant unaweza kusoma ACCA module zao mpaka kumaliza na ukawa chartered accountant ‘provided umepata experience ya miaka mitatu ya kazi’.

Hakuna auditor mwenye akili zake IAASB wanatunga standards za kazi nini cha kufanya ukifika huko. Kwa hivyo uhitaji mi Phd sijui nini na nini you only need to be a qualified accountant (member of RQB) na experience.

Tupunguze kutukuza hizi Phd zingine hazina lazima na faida yake ni kwenye kufundishia vyuo tu ila sio kwenye utendaji au kwamba inaongeza maarifa zaidi kwa mtu bachelor tu kazini.

Kuondelewa kwake ilikuwa kiherehere chake kila akielezwa hela zilipoenda hataki kuelewa, sasa kuna faida gani ya kuwa na CAG mzushi.
 
Sasa kama mtu yuko na akili kichwani unakubalije kuwekewa mtu usiyeendana nae?
 
Mkuu acha uongo, kipindi cha Mwendazake mgao wa umeme ulikuwepo, sukari iliadimika ikapanda bei, kilimo kiliporomoka, ajira zilisimama na biashara zilikufa. Kadanganye kwingine sio humu!
Ndugu unabishana ata na watu wenye majukumu ya kusimamia value chain kuanzia shambani hadi kwa mlaji na ku regulate hiyo industry.

Bodi ya sukari kwa maelezo yao wanakwambia kuanzia 2015/16 importation ilipungua na walikuwa na sera ya self sustainable, wamekuwa na data za uzalishaji na ikionyesha increased yield na falling importation tones.

Sasa wewe na body ya sukari nani anajua zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…