Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

Wewe jamaa uje Dodoma uonge ujinga kama huo uone unaliwa kiboga mchana kweupe wewe ikiwezekana na familia yenu yote
 
Yote kwa yote hamna raisi aliyependwa zaidi yake. Mwamba alipiga kazi sana! Mungu amrehemu alipo
 
Mashine za aina yoyote ile ikiwa hazijafanyiwa service kwa wakati, baada ya muda huwa zinaenda kufa kabisa.

Yaani matokeo huwezi kuyapata wakati huo kama kutia chumvi kwenye mboga, yatakuja baada ya muda. Na yataumiza.

Ova
Sasa kama ni miundombinu chakavu, kwanini awamu ya nne yote Taifa hili lilikuwa gizani na isifanyiwe maintainance?
Ni kitu gani kilifanyika mpaka kukomesha mgao awamu ya 5?
Je Makamba alihitaji miaka mingapi kuweza kumaliza kukarabati hiyo miundombinu ili kuondoa tatizo?
Sasa hivi tumeambiwa hakutakuwa na mgao tena,ndio kusema wameshamaliza kukarabati hiyo mkundombinu chakavu?😀
Kila mara tumeona Rais akitengua viongozi wa Tanesco, unafikiri ingelikuwa kweli sababu za mgao ni miundombinu chakavu, angewatengua?
Tanesco kuna uzembe, wizi,ubababishaji, upigaji dili.
Ukiniambia ongezeko la wateja, hakuna wakati watanzania wengi wameunganishiwa umeme kama awamu ya 5 baada ya gharama za umeme kushushwa ikiwemo kuanzshwa kwa viwanda vidogo vidogo vingi lkn hapakuwa na migao.
Ni Magu huyu huyu ndiye aliyetusanua watanzania kuwa kuna watu wanahongwa fedha na wafanyabiashara wafungulie maji kwenye mabwawa ili kuwepo na upungufu wa maji na umeme ili generators ziuzike,tuna uhakika gani kama haya mambo hayaendelei baada ya yeye kuondoka? leo bila haya mnakuja na ngonjera zenu kuwa yeye ndiye chanzo cha tatizo, kama sio wendawazimu ni nini?
 
Wewe ni taira nahisi .....
 
Mna chuki sana daraja la wami lilikuwa 90%, stiglar 51.. barara ya kimara hadi kibaha ilikuwa 90 mpaka sasa hivi hamajaweza kumalilizai hizo 10%

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Mavi ni wewe mwenyewe usiye na alili ya kuchambua. Magufuli alikuwa anatengeneza nchi ya hovyo. Tungekuwa sawa na Yemen au Zimbabwe.
Sasa hivi na kama mchi gani somali au .halafu hao Yemen unawachukulia poa .sisi hata tooth pick ni imported products

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Na aliomba 10T kwa ajilli ya kumaimtan grid na kupambana na kunguru kwa huruma ya bi tozo akampatai 3T .
Kichekesho sana aisee

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Binafsi nmeamza kujua maana halisi ya neno maendeleo ktk awamu ya tano.
 
Ndio maana taifa linaangamia inakuwaje mtu mwenye elimu ya kuunga kuunga ya form four (Makonda) anakaa katika kamati ya chama kikuu cha nchi. Unajua CV za viongozi wa Rwanda ? Na ni vijana tu. Kuongoza kunahitaji akili ya ziada. Siongelei Phd za Tanzania au za kupewa. Mussa Assad ana PHD na Masters za uingereza hauwezi linganisha na Phd za wakina Biteko na Jafo. Kipindi cha JPM watu wengi walipewa vyeo bila vigezo mpaka leo hii ukiangalia huko serikalini kumejaa watu wa ajabu sana.
 
Lucas kwani yeye anasemaje🤣
 
Mtoa mada we ni uchafu
 
Mna chuki sana daraja la wami lilikuwa 90%, stiglar 51.. barara ya kimara hadi kibaha ilikuwa 90 mpaka sasa hivi hamajaweza kumalilizai hizo 10%

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Hizo asilimia unazichakachua kama Magufuli alivyokuwa anachakachua. Weka ushahidi hapa maana Waziri Wa Nishati Dotto Biteko katuambia Magufuli alifikia 33% ya bwawa la JNHEP
 
Vita mbinu uhitaji mtu mwenye elimu kubwa kuwa msemaji wa chama. Unahitaji mtu mwenye mvuto, uwezo wa kushawishi, anaweza porojo za hadaa na kujibu maswali (majibu ambayo lines anatayarishiwa na chama).

Halikadhalika Phd aikufanyi kuwa good accountant, any area (audit, finance, management or financial) you only need a bachelor and professional qualification to do a good job.

Sehemu pekee ya accounts baada ya kupata proffesional qualification inayohitaji education ya ziada ni tax accountant (consultant) kwenda kusoma masters ya law. Sasa huyu sio yule tax accountant wa mashirika, hawa ni wale personal wanaowafundisha people like Donald Trump how to pay low taxes and best ways to hide their assets.

Kusoma uingereza kusikutishe Hakuna kitu special wanachofundishwa zaidi ya IFRS kuanzia kwenye bookkeeping mpaka kutengeneza consolidated financial statement. Mengine ni taxes (mechanics tu) za kufanya hesabu zake. Audit (IAASB) wanaanda ‘international standards of auditing’ hizo ndio unafundishwa kama accounts process zimefuata IFRS, sheria za nchi na mwisho ni management accounting (hesabu zake ni arithmetic tu za darasa la nne).

Ndio maana huko U.K. mtu anaweza kuwa qualified accountant bila ya hata kusoma degree kupitia ACCA programmes mtu yeyote anaweza kuanza nao mpaka anapata proffesional qualification. Tofauti ya kutokuwa na degree unaweza usijue mambo mengine ya kibiashara tu (utosoma business modules on ACCA accounting only mechanics) but you’re not limited to doing areas of accounts ambazo mwenye degree anaweza fanya.

Other than attaining professional qualification uhitaji masters kwenye accounting it’s unnecessary unless for academic purposes za kwenda kufundisha (au kuwa tax consultant) but then accounts lecturers wanalipwa vizuri huko kwao ndio maana baadhi wanaenda. Well na sasa hivi labda ujiongeze kwenye IT maana AI is coming for those repetitive tasks za accountants.
 
Mkuu, unaelewa maana yake mtu akisema kuhusu kufanyia service mitambo? Sio ukarabati, service tu.

Ova
 
Nipo ujerumani nakuhakikishia kuna loopholes nyingi sana nimeziona katika serikali yetu ya Tanzania. Bahati mbaya mimi sina roho ya kuisaidia serikali ambao wakuu wa wilaya na viongozi wanateuliwa kishabiki. Nakuhakikishia nikimaliza nachokifanya huku nakuja kupiga hela kubwa sana na sio kwa kuwa nipo serikalini.
 
Mkuu, unaelewa maana yake mtu akisema kuhusu kufanyia service mitambo? Sio ukarabati, service tu.

Ova
Mkuu, Mh Makamba aliomba 11 T kwa ajili ya ukarabati wa miundombinu chakavu aliyodai ndio chanzo cha kukagika kwa umeme au umesahau?labda unieleweshe wewe ni service ipi unayoizungumzia?
 
Acha kujiabisha wewe......
Unaongea taka taka gani hizi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…