Matatizo ni mtaji: Finland imegundua njia mbadala ya nishati

Gama

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2010
Posts
13,265
Reaction score
4,735
Ama kwa hakika matatizo ni mtaji. Finland nchi ambayo imepakana na urusi na ambayo imekuwa ikipata nishati hasa ya gas kutoka Urusi na mabayo Urusi imeikatia huduma hiyo imegundua aina mpya ya nishati ambayo inaweza kuzalishwa na kuhifadhiwa kwa mda mrefu. Nishati hiyo ni betri maaluma ambazo huchimbiwa chini ya ardhi na kuzalisha nishati inayoweza kutumika kutoa joto katika majumba. Hakika, baada ya vita Urusi Urusi inabidi itafute vyanzo mbadala vya mapato kwakuwa majirani wengi watasusa bidhaa zake

FUATILIA HAPA

Sand battery' may solve green energy's big problem​

Finnish researchers have installed the world's first fully working "sand battery" which can store green power for months at a time.

The sand battery has been installed and is functioning well according to the power company
© BBC

The developers say this could solve the problem of year-round supply, a major issue for green energy.

Using low-grade sand, the device is charged up with heat made from cheap electricity from solar or wind.

The sand stores the heat at around 500C, which can then warm homes in winter when energy is more expensive.

Finland gets most of its gas from Russia, so the war in Ukraine has drawn the issue of green power into sharp focus.

It has the longest Russian border in the EU and Moscow has now halted gas and electricity supplies in the wake of the Finland's decision to join NATO.

'Sand battery' may solve green energy's big problem
© BBC'Sand battery' may solve green energy's big problem

Concerns over sources of heat and light, especially with the long, cold Finnish winter on the horizon are preoccupying politicians and citizens alike.

But in a corner of small power plant in western Finland stands a new piece of technology that has the potential to ease some of these worries.

The key element in this device? Around 100 tonnes of builder's sand, piled high inside a dull grey silo.

These rough and ready grains may well represent a simple, cost-effective way of storing power for when it's needed most.

Because of climate change and now thanks to the rapidly rising price of fossil fuels, there's a surge of investment in new renewable energy production.

But while new solar panels and wind turbines can be quickly added to national grids, these extra sources also presents huge challenges.

The toughest question is about intermittency - how do you keep the lights on when the sun doesn't shine and the wind doesn't blow?

Adding more renewables to the electricity grid also means you need to boost other energy sources to balance the network, as too much or too little power can cause it to collapse.

The most obvious answer to these problems is large scale batteries which can store and balance energy demands as the grid becomes greener.

Right now, most batteries are made with lithium and are expensive with a large, physical footprint, and can only cope with a limited amount of excess power.

But in the town of Kankaanpää, a team of young Finnish engineers have completed the first commercial installation of a battery made from sand that they believe can solve the storage problem in low-cost, low impact way.

"Whenever there's like this high surge of available green electricity, we want to be able to get it into the storage really quickly," said Markku Ylönen, one of the two founders of Polar Night Energy who have developed the product.

The device has been installed in the Vatajankoski power plant which runs the district heating system for the area.

Low-cost electricity warms the sand up to 500C by resistive heating (the same process that makes electric fires work).

This generates hot air which is circulated in the sand by means of a heat exchanger.

Sand is very effective medium for storing heat and loses little over time. The developers say that their device could keep sand at 500C for several months.

So when energy prices are higher, the battery discharges the hot air which warms water for the district heating system which is then pumped around homes, offices and even the local swimming pool.

Finnish researchers Markku Ylönen and Tommi Eronen, who came up with the sand battery idea
© BBCFinnish researchers Markku Ylönen and Tommi Eronen, who came up with the sand battery idea

Cost-cutting grains​

The idea for the sand battery was first developed at a former pulp mill in the city of Tampere, with the council donating the work space and providing funding to get it off the ground.

"If we have some power stations that are just working for a few hours in the wintertime, when it's the coldest, it's going to be extremely expensive," said Elina Seppänen, an energy and climate specialist for the city.

"But we have if we have this sort of solution that provides flexibility for the use, and storage of heat, that would help a lot in terms of expense, I think."

One of the big challenges now is whether the technology can be scaled up to really make a difference - and will the developers be able to use it to get electricity out as well as heat?

The efficiency falls dramatically when the sand is used to just return power to the electricity grid.

But storing green energy as heat for the longer term is also a huge opportunity for industry, where most of the process heat that's used in food and drink, textiles or pharmaceuticals comes from the burning of fossil fuels.

Other research groups, such as the US National Renewable Energy Laboratory are actively looking at sand as a viable form of battery for green power.

But the Finns are the first with a working, commercial system, that so far is performing well, according to the man who's invested in the system.

"It's really simple, but we liked the idea of trying something new, to be the first in the world to do something like this," said Pekka Passi, the managing director of the Vatajankoski power plant.

"It's a bit crazy, if you wish, but I think it's going to be a success."

Follow Matt on Twitter @mattmcgrathbbc.
 
Attachments

  • 1657000332248.png
    1657000332248.png
    68 bytes · Views: 13
mtoa mada ingekuwa mambo yako ivyo ujerumani yenye uchumi mkubwa ulaya nzima wangeshatumia iyo njia lakini ndio ivyo gesi asilia aina mbadala duniani ulaya watakuwa tegemezi kwa gesi asilia generation to generation
 
Haitoshi hii, tunahitaji kupata report ya techno-economic analysis ya mradi huu. Hapo twaweza kujiridhisha kama unafaida kwa jamii ama la!
 
Kumsusia mrusi bado sana, gesi na mafuta hasa viwandani na kuendesha mitambo mikubwa itaendelea kutumika sana,,,,hio battery acha iende sahivi ikakimbize maviwanda ya ujerumani
Ulimwenguni wenzetu hutumia elimu na akili kupata mambo chanya na yenye tija kwa muda mrefu sana lakini huko kwenu Tanzania ni kupinga kila kitu musichokifahamu na kukitolea maamuzi ya haraka kwamba bado itakuwa hivi na hivi., ndio maana mama yenu husafiri mara mara kwenda kuangalia duni ikoje ulimwenguni na wanafanya nini mpaka wanafanikiwa sio wewe uliyelala usingizi wa pono ukiwa malapa na mbagala
 
Ni suala la muda tu kabla mbadala wa mafuta na gesi haujapatikana, na itakuwa pigo kubwa sana kwa madikteta wanaokalia rasilimali hizo.

Mbadala mbona teyari kuna mifumo ya umeme na mwanga. Ila kumbuka karibu mifumo mingi ya kutoa nishati inategemeana.
 
Ni suala la muda tu kabla mbadala wa mafuta na gesi haujapatikana, na itakuwa pigo kubwa sana kwa madikteta wanaokalia rasilimali hizo.
Vipi kwa matrilion ya mapipa ya mafuta walionayo marekani je wataya mwaga bahari ? Na vipi kuhusu mkataba wa gesi serikali yako uliosaini je utavunjwa? Vipi pia kuhusu magari yanayotumia gesi je yatapigwa marufuku? Je vipi kuhusu mpango wa Ujerumani kusaini mkataba wq kusafirisha gesi kutoka Qatar mpaka Ujerumani utasitishwa? Na je vipi kuhusu petrodollar itaangukua na kupotea baada ya mafuta kupata mbadala wake Kama unavyosema wewe?🤔
 
  • Thanks
Reactions: ffn
Ulimwenguni wenzetu hutumia elimu na akili kupata mambo chanya na yenye tija kwa muda mrefu sana lakini huko kwenu Tanzania ni kupinga kila kitu musichokifahamu na kukitolea maamuzi ya haraka kwamba bado itakuwa hivi na hivi., ndio maana mama yenu husafiri mara mara kwenda kuangalia duni ikoje ulimwenguni na wanafanya nini mpaka wanafanikiwa sio wewe uliyelala usingizi wa pono ukiwa malapa na mbagala
Tena wachina ndo wenye macho ya kuziona fursa nchini kuliko sisi, ubungo wanataka kujenga business center kubwa Sana east Africa nzima halafu watawapangisha wabongo maduka wanavuta pesa wanapeleka kwao china, Mchina kaona fursa kaingia ubia na tanesco kuua nguzo za miti anawatengenezea nguzo za zege udumu miaka 100 eti sisi waswahili hatukuona fursa hio, Mchina anachimba makaa na chuma matajiri wetu hawawezi KILA mmoja akipata pesa anakimbilia kununua mabus na sio fursa zingine za ubunifu, leo mabus yamejaa KILA kona yamedoda kuliko idadi ya wasafiri, wamebakia kurogana kuliko ubunifu.
Mchina KILA sekta anapiga.
Leo kaja kuuwa biashara ya tipper, kaleta sijui ni pikipiki au tuite gari lina tairi tano.nyuma nne mbele moja kama toyo gutta Ili linapakia tani tano hadi 6 na linabinua, lita moja kilometa 18, engine mashine hizi hizi za diesel za kusagia vijijini tena zero kilometa nani atahangaika tena kununua tipper ndogo tani 2 au nne za mchanga ambazo ni used kwa milioni 40 toka japan wakati unapata 2 na moja utalipa kwa Mkopo taratibu,yaani Mchina anaangalia changamoto za maisha ya waafrika kisha anapigia pesa kupitia changamoto hizo.Mchina anavuta pesa kuuza malori,mabus,pikipiki bado kwenye daladala tu ajapata taarifa tu zina soko nazo. Check bodaboda zilivyoifungua afrika, popote unaenda hata vijijini sio kama zamani unashuka kwenye treni unasubiria gari moja tu likiondoka hadi kesho ukishuka kwenye gari unapanda baiskeli ukishuka baiskeli unaanza kanyaga masaa 10 ndipo ufike kijijini kwenu. Leo bodaboda unatembea popote masaa 24 huku unakula mziki.
Mchina atavuna Sana pesa afrika kupitia ubunifu wa kutatua matatizo ya mwafrika.
 
Vipi kwa matrilion ya mapipa ya mafuta walionayo marekani je wataya mwaga bahari ? Na vipi kuhusu mkataba wa gesi serikali yako uliosaini je utavunjwa? Vipi pia kuhusu magari yanayotumia gesi je yatapigwa marufuku? Je vipi kuhusu mpango wa Ujerumani kusaini mkataba wq kusafirisha gesi kutoka Qatar mpaka Ujerumani utasitishwa? Na je vipi kuhusu petrodollar itaangukua na kupotea baada ya mafuta kupata mbadala wake Kama unavyosema wewe?🤔

Huyo Mrusi watamlipulia visima vyake vyote Ili kuua hio jeuri yake
 
Ulimwenguni wenzetu hutumia elimu na akili kupata mambo chanya na yenye tija kwa muda mrefu sana lakini huko kwenu Tanzania ni kupinga kila kitu musichokifahamu na kukitolea maamuzi ya haraka kwamba bado itakuwa hivi na hivi., ndio maana mama yenu husafiri mara mara kwenda kuangalia duni ikoje ulimwenguni na wanafanya nini mpaka wanafanikiwa sio wewe uliyelala usingizi wa pono ukiwa malapa na mbagala
Ngonjera ndeefu mwisho wa siku russia sio Zimbabwe.....check euro sasa inavyoporomoka...hadi watajuta kumkumbatia huyo shoga wa america
 
mtoa mada ingekuwa mambo yako ivyo ujerumani yenye uchumi mkubwa ulaya nzima wangeshatumia iyo njia lakini ndio ivyo gesi asilia aina mbadala duniani ulaya watakuwa tegemezi kwa gesi asilia generation to generation
Nahisi hukusoma bandiko husika kwa ufasaha; hiki ni kitu kipya, tuamzie hapo
 
Kumsusia mrusi bado sana, gesi na mafuta hasa viwandani na kuendesha mitambo mikubwa itaendelea kutumika sana,,,,hio battery acha iende sahivi ikakimbize maviwanda ya ujerumani
Mkuu,mataifa ya Ulaya wanafanya maigizo kuzuga utawala wa Biden ili waonekane wapo pamoja nae kwenye crusade ya kuikomesha Urusi/Putin - lakini nakuhakishia baada ya uchaguzi 2024 wa kiti cha Urais huko Merikani ambao Biden hawezi kushinda, basi Viongozi wa Ulaya karibu wote watakwenda kumpigia magoti Putin awafungulie mafuta na gesi - Ujerumani yenye viwanda vingi vinavyo tegemea nishati ya gesi na mkaa wa mawe hawata subiri mpaka 2024, wajerumani wata kwenda mapema zaidi kujadiliana na Putin, ignoring stance/msimamo wa USA kuhusu vikwazo vya kiuchumi kwa taifa la Urusi. Tuwe wakweli hapa, linapokuja kuja suala la nishati ya uhakika kwa mataifa ya Ulaya Urusi hana mpinzani wataendelea kumtegemea daima Duni.

Taifa la Finland lisijidanganye hapa kwamba linaweza ku-run viwanda vyake vikubwa pamoja matumizi ya umeme kwenye nyumba za raia wake kwa kutegemea renewable energy mfano: Solar,wind,tidal waves nk - hizo ni energy source ambazo ni highly inefficient ukilinganisha na gesi,mafuta,Nuclear na Hydro power generating stations.

Finland hisisikileze ushauri potofu wa Viongozi wa mataifa ya magharibi - wakae chini waelewane na majirani wao ambao ni Urusi, Finland hawana jinsi.
 
Ngonjera ndeefu mwisho wa siku russia sio Zimbabwe.....check euro sasa inavyoporomoka...hadi watajuta kumkumbatia huyo shoga wa america
Kwaiyo wale matajiri wapatao 15000 wa kirusi walioikimbia nchi yao na kukimbilia Dubai na Uturuki na kuwekeza huko kutokana na vikwazo ilivyowekewa Russia na kuhatarisha utajiri wao watarudi nyumbani kwao Urussi ili kuwekeza kwenye RUB??
 
Ama kwa hakika matatizo ni mtaji. Finland nchi ambayo imepakana na urusi na ambayo imekuwa ikipata nishati hasa ya gas kutoka Urusi na mabayo Urusi imeikatia huduma hiyo imegundua aina mpya ya nishati ambayo inaweza kuzalishwa na kuhifadhiwa kwa mda mrefu. Nishati hiyo ni betri maaluma ambazo huchimbiwa chini ya ardhi na kuzalisha nishati inayoweza kutumika kutoa joto katika majumba. Hakika, baada ya vita Urusi Urusi inabidi itafute vyanzo mbadala vya mapato kwakuwa majirani wengi watasusa bidhaa zake

FUATILIA HAPA

Sand battery' may solve green energy's big problem​

Finnish researchers have installed the world's first fully working "sand battery" which can store green power for months at a time.

The sand battery has been installed and is functioning well according to the power company
© BBC
The sand battery has been installed and is functioning well according to the power company
The developers say this could solve the problem of year-round supply, a major issue for green energy.

Using low-grade sand, the device is charged up with heat made from cheap electricity from solar or wind.

The sand stores the heat at around 500C, which can then warm homes in winter when energy is more expensive.

Finland gets most of its gas from Russia, so the war in Ukraine has drawn the issue of green power into sharp focus.

It has the longest Russian border in the EU and Moscow has now halted gas and electricity supplies in the wake of the Finland's decision to join NATO.

'Sand battery' may solve green energy's big problem'Sand battery' may solve green energy's big problem
© BBC'Sand battery' may solve green energy's big problem

Concerns over sources of heat and light, especially with the long, cold Finnish winter on the horizon are preoccupying politicians and citizens alike.

But in a corner of small power plant in western Finland stands a new piece of technology that has the potential to ease some of these worries.

The key element in this device? Around 100 tonnes of builder's sand, piled high inside a dull grey silo.

These rough and ready grains may well represent a simple, cost-effective way of storing power for when it's needed most.

'Sand battery' may solve green energy's big problem'Sand battery' may solve green energy's big problem
© BBC'Sand battery' may solve green energy's big problem

Because of climate change and now thanks to the rapidly rising price of fossil fuels, there's a surge of investment in new renewable energy production.

But while new solar panels and wind turbines can be quickly added to national grids, these extra sources also presents huge challenges.

The toughest question is about intermittency - how do you keep the lights on when the sun doesn't shine and the wind doesn't blow?

Adding more renewables to the electricity grid also means you need to boost other energy sources to balance the network, as too much or too little power can cause it to collapse.

The most obvious answer to these problems is large scale batteries which can store and balance energy demands as the grid becomes greener.

Right now, most batteries are made with lithium and are expensive with a large, physical footprint, and can only cope with a limited amount of excess power.

But in the town of Kankaanpää, a team of young Finnish engineers have completed the first commercial installation of a battery made from sand that they believe can solve the storage problem in low-cost, low impact way.

"Whenever there's like this high surge of available green electricity, we want to be able to get it into the storage really quickly," said Markku Ylönen, one of the two founders of Polar Night Energy who have developed the product.

The device has been installed in the Vatajankoski power plant which runs the district heating system for the area.

Low-cost electricity warms the sand up to 500C by resistive heating (the same process that makes electric fires work).

This generates hot air which is circulated in the sand by means of a heat exchanger.

Sand is very effective medium for storing heat and loses little over time. The developers say that their device could keep sand at 500C for several months.

So when energy prices are higher, the battery discharges the hot air which warms water for the district heating system which is then pumped around homes, offices and even the local swimming pool.

Finnish researchers Markku Ylönen and Tommi Eronen, who came up with the sand battery idea
© BBCFinnish researchers Markku Ylönen and Tommi Eronen, who came up with the sand battery idea

Cost-cutting grains​

The idea for the sand battery was first developed at a former pulp mill in the city of Tampere, with the council donating the work space and providing funding to get it off the ground.

"If we have some power stations that are just working for a few hours in the wintertime, when it's the coldest, it's going to be extremely expensive," said Elina Seppänen, an energy and climate specialist for the city.

"But we have if we have this sort of solution that provides flexibility for the use, and storage of heat, that would help a lot in terms of expense, I think."

One of the big challenges now is whether the technology can be scaled up to really make a difference - and will the developers be able to use it to get electricity out as well as heat?

The efficiency falls dramatically when the sand is used to just return power to the electricity grid.

But storing green energy as heat for the longer term is also a huge opportunity for industry, where most of the process heat that's used in food and drink, textiles or pharmaceuticals comes from the burning of fossil fuels.

Other research groups, such as the US National Renewable Energy Laboratory are actively looking at sand as a viable form of battery for green power.

But the Finns are the first with a working, commercial system, that so far is performing well, according to the man who's invested in the system.

"It's really simple, but we liked the idea of trying something new, to be the first in the world to do something like this," said Pekka Passi, the managing director of the Vatajankoski power plant.

"It's a bit crazy, if you wish, but I think it's going to be a success."

Follow Matt on Twitter @mattmcgrathbbc.
duuh ! Bongo nyoso "matatizo ni mtaji" how
Hapa bongo matatizo yapo kede kede ili kujidhirisha hebu yatatue.
 
Putin ataishia shimo la tewa si muda mrefu ujao.
 
Au sio wewe kwa akili zako unadhani hilo jambo watafanya ? Unadhani urusi ni Kama msumbiji, Nigeria , Libya , Mali n.k. Kama wameshindwa kufanya hivyo kwa Iran kwa urusi unadhani ndio wataweza😄
Kwann wasiweze kama wameweza usambaratisha muunganiko wake nini washindwe
 
Back
Top Bottom