Suleman Jr
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 341
- 525
Mtasubiri sanaaaaPutin ataishia shimo la tewa si muda mrefu ujao.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtasubiri sanaaaaPutin ataishia shimo la tewa si muda mrefu ujao.
Ni miaka hiyo ussr wakiwa na aina flani ya viongozi, now wana Putin na wengine wengi wenye IQ kubwa.Kwann wasiweze kama wameweza usambaratisha muunganiko wake nini washindwe
Kwani ataishi mileleNi miaka hiyo ussr wakiwa na aina flani ya viongozi, now wana Putin na wengine wengi wenye IQ kubwa.
Ngonjera hazisaidii kitu , hali halisi inaonyesha nani ambae ana wakati mgumu kwa sasa.....matajiri ni kapunje kadogo tu ka raia wa urusi wakati upande wa pili wanaosaga meno ni maelfu tena wananchi tu wa kawaidaKwaiyo wale matajiri wapatao 15000 wa kirusi walioikimbia nchi yao na kukimbilia Dubai na Uturuki na kuwekeza huko kutokana na vikwazo ilivyowekewa Russia na kuhatarisha utajiri wao watarudi nyumbani kwao Urussi ili kuwekeza kwenye RUB??
Vipi kwa matrilion ya mapipa ya mafuta walionayo marekani je wataya mwaga bahari ? Na vipi kuhusu mkataba wa gesi serikali yako uliosaini je utavunjwa? Vipi pia kuhusu magari yanayotumia gesi je yatapigwa marufuku? Je vipi kuhusu mpango wa Ujerumani kusaini mkataba wq kusafirisha gesi kutoka Qatar mpaka Ujerumani utasitishwa? Na je vipi kuhusu petrodollar itaangukua na kupotea baada ya mafuta kupata mbadala wake Kama unavyosema wewe?[emoji848]
Vipi kwa matrilion ya mapipa ya mafuta walionayo marekani je wataya mwaga bahari ? Na vipi kuhusu mkataba wa gesi serikali yako uliosaini je utavunjwa? Vipi pia kuhusu magari yanayotumia gesi je yatapigwa marufuku? Je vipi kuhusu mpango wa Ujerumani kusaini mkataba wq kusafirisha gesi kutoka Qatar mpaka Ujerumani utasitishwa? Na je vipi kuhusu petrodollar itaangukua na kupotea baada ya mafuta kupata mbadala wake Kama unavyosema wewe?[emoji848]
China ni nchi namba moja duniani kwa matumizi ya green energy lakin mpaka leo hii anaagiza mapipa kwa mapipa kutoka urusi , pia wamechimba bomba litakalo weza kusafirisha gesi kutoka urusi mpaka China huu ni mpango wa muda mrefu . unadhani itakuwa ni rahisi kuachana na matumizi ya mafuta na gesi hilo jambo kutakuwa ni gumu. Kitu pekee china wanachofanya kwa Sasa wapo wanabuni teknolojia ambayo itafanya mafuta yasitoe hewa chafu na sio kwenye mafuta tu hata kwenye makaa ya mawe hilo jambo ndio wanalifanyia majaribio Sasa.Nishati ya nyuklia iliwezekana muda mrefu baada ya Mafuta kugunduliwa lakini Ufaransa waliamua 75% ya mahitaji yao ya nishati yawe nyuklia. Subiria siku zipatikane teknolojia nzuri za kuhifadhi Nishati ya jua kwa muda mrefu utapata majibu mazuri ya maswali yako yote.
Hii ni habar mbaya sana kwao ndo maana wanapinga. Watu walishajiandaa kuachana na nishati ya Mrusi, ni suala la muda tu.Ulimwenguni wenzetu hutumia elimu na akili kupata mambo chanya na yenye tija kwa muda mrefu sana lakini huko kwenu Tanzania ni kupinga kila kitu musichokifahamu na kukitolea maamuzi ya haraka kwamba bado itakuwa hivi na hivi., ndio maana mama yenu husafiri mara mara kwenda kuangalia duni ikoje ulimwenguni na wanafanya nini mpaka wanafanikiwa sio wewe uliyelala usingizi wa pono ukiwa malapa na mbagala
Ni kweli, suala la muda tu. Warusi wa mbagala kibonde maji hawaamini kama haya yatawezekana.Ni suala la muda tu kabla mbadala wa mafuta na gesi haujapatikana, na itakuwa pigo kubwa sana kwa madikteta wanaokalia rasilimali hizo.
China ni nchi namba moja duniani kwa matumizi ya green energy lakin mpaka leo hii anaagiza mapipa kwa mapipa kutoka urusi , pia wamechimba bomba litakalo weza kusafirisha gesi kutoka urusi mpaka China huu ni mpango wa muda mrefu . unadhani itakuwa ni rahisi kuachana na matumizi ya mafuta na gesi hilo jambo kutakuwa ni gumu. Kitu pekee china wanachofanya kwa Sasa wapo wanabuni teknolojia ambayo itafanya mafuta yasitoe hewa chafu na sio kwenye mafuta tu hata kwenye makaa ya mawe hilo jambo ndio wanalifanyia majaribio Sasa.
Mkuu nikurekebishe kidogo china ya Sasa sio ile ya kina Deng Xiaoping ambayo kwa kila namna ilikuwa inaya kila kinachewezekana ilimradi wapate rapid succession kwa muda mfupi hata mazingira hawakujali lakin china hii ya Xi Jinping inajali Sana mazingiraChina huwa inakopi Teknolojia Ulaya na Marekani. Wachina pia sio watu wanaojali sana kuhusu mazingira, haki za wafanyakazi, mazingira ya kazi n.k Wao ajenda yao ni moja tu, ya ukuaji wa uchumi kwa hali zozote. Robo ya wachina bado wanaishi kwenye Umaskini.
Wamekariri haoMkuu nikurekebishe kidogo china ya Sasa sio ile ya kina Deng Xiaoping ambayo kwa kila namna ilikuwa inaya kila kinachewezekana ilimradi wapate rapid succession kwa muda mfupi hata mazingira hawakujali lakin china hii ya Xi Jinping inajali Sana mazingira
View attachment 2282627
View attachment 2282644
Pia serikali ya china ya Sasa inafanya kila inalo weza kuinvest alot of money ili iwezi kutawala na kuongoza kwenye uvumbuzi wa teknolojia kwa hiyo sio sahihi kusema Wana copy wakati unamzungumzia china ya Sasa sio ya kina Deng Xiaoping
Mkuu nikurekebishe kidogo china ya Sasa sio ile ya kina Deng Xiaoping ambayo kwa kila namna ilikuwa inaya kila kinachewezekana ilimradi wapate rapid succession kwa muda mfupi hata mazingira hawakujali lakin china hii ya Xi Jinping inajali Sana mazingira
View attachment 2282627
View attachment 2282644
Pia serikali ya china ya Sasa inafanya kila inalo weza kuinvest alot of money ili iwezi kutawala na kuongoza kwenye uvumbuzi wa teknolojia kwa hiyo sio sahihi kusema Wana copy wakati unamzungumzia china ya Sasa sio ya kina Deng Xiaoping
Kwa hiyo statista walio toa takwimu hawakuzingatia hayo mkuu ulioeleza. na wao kumuweka china mbali Sana na U.S.A?China wako billion 1.3, per Capita unachukua Jumla/Idadi ya watu. Kwa Jumla anayeongoza ni US, China anafuatia namba 2 na atampiku US muda sio mrefu kuzalisha gesi ya CO2
Kwa hiyo statista walio toa takwimu hawakuzingatia hayo mkuu ulioeleza. na wao kumuweka china mbali Sana na U.S.A?
Hizi ni za DW 2019 hapa kidogo nimeanza kukuelewaLeta takwimu za Statista za Total emissions per country.
Ndo kwanza initial stages haiwezi kuwa replacement ya gas haraka hivyo bwashehe itachukua miaka.Ama kwa hakika matatizo ni mtaji. Finland nchi ambayo imepakana na urusi na ambayo imekuwa ikipata nishati hasa ya gas kutoka Urusi na mabayo Urusi imeikatia huduma hiyo imegundua aina mpya ya nishati ambayo inaweza kuzalishwa na kuhifadhiwa kwa mda mrefu. Nishati hiyo ni betri maaluma ambazo huchimbiwa chini ya ardhi na kuzalisha nishati inayoweza kutumika kutoa joto katika majumba. Hakika, baada ya vita Urusi Urusi inabidi itafute vyanzo mbadala vya mapato kwakuwa majirani wengi watasusa bidhaa zake
FUATILIA HAPA
Sand battery' may solve green energy's big problem
Finnish researchers have installed the world's first fully working "sand battery" which can store green power for months at a time.
© BBC
The sand battery has been installed and is functioning well according to the power company
The developers say this could solve the problem of year-round supply, a major issue for green energy.
Using low-grade sand, the device is charged up with heat made from cheap electricity from solar or wind.
The sand stores the heat at around 500C, which can then warm homes in winter when energy is more expensive.
Finland gets most of its gas from Russia, so the war in Ukraine has drawn the issue of green power into sharp focus.
It has the longest Russian border in the EU and Moscow has now halted gas and electricity supplies in the wake of the Finland's decision to join NATO.
© BBC'Sand battery' may solve green energy's big problem
Concerns over sources of heat and light, especially with the long, cold Finnish winter on the horizon are preoccupying politicians and citizens alike.
But in a corner of small power plant in western Finland stands a new piece of technology that has the potential to ease some of these worries.
The key element in this device? Around 100 tonnes of builder's sand, piled high inside a dull grey silo.
These rough and ready grains may well represent a simple, cost-effective way of storing power for when it's needed most.
© BBC'Sand battery' may solve green energy's big problem
Because of climate change and now thanks to the rapidly rising price of fossil fuels, there's a surge of investment in new renewable energy production.
But while new solar panels and wind turbines can be quickly added to national grids, these extra sources also presents huge challenges.
The toughest question is about intermittency - how do you keep the lights on when the sun doesn't shine and the wind doesn't blow?
Adding more renewables to the electricity grid also means you need to boost other energy sources to balance the network, as too much or too little power can cause it to collapse.
The most obvious answer to these problems is large scale batteries which can store and balance energy demands as the grid becomes greener.
Right now, most batteries are made with lithium and are expensive with a large, physical footprint, and can only cope with a limited amount of excess power.
But in the town of Kankaanpää, a team of young Finnish engineers have completed the first commercial installation of a battery made from sand that they believe can solve the storage problem in low-cost, low impact way.
"Whenever there's like this high surge of available green electricity, we want to be able to get it into the storage really quickly," said Markku Ylönen, one of the two founders of Polar Night Energy who have developed the product.
The device has been installed in the Vatajankoski power plant which runs the district heating system for the area.
Low-cost electricity warms the sand up to 500C by resistive heating (the same process that makes electric fires work).
This generates hot air which is circulated in the sand by means of a heat exchanger.
Sand is very effective medium for storing heat and loses little over time. The developers say that their device could keep sand at 500C for several months.
So when energy prices are higher, the battery discharges the hot air which warms water for the district heating system which is then pumped around homes, offices and even the local swimming pool.
© BBCFinnish researchers Markku Ylönen and Tommi Eronen, who came up with the sand battery idea
Cost-cutting grains
The idea for the sand battery was first developed at a former pulp mill in the city of Tampere, with the council donating the work space and providing funding to get it off the ground.
"If we have some power stations that are just working for a few hours in the wintertime, when it's the coldest, it's going to be extremely expensive," said Elina Seppänen, an energy and climate specialist for the city.
"But we have if we have this sort of solution that provides flexibility for the use, and storage of heat, that would help a lot in terms of expense, I think."
One of the big challenges now is whether the technology can be scaled up to really make a difference - and will the developers be able to use it to get electricity out as well as heat?
The efficiency falls dramatically when the sand is used to just return power to the electricity grid.
But storing green energy as heat for the longer term is also a huge opportunity for industry, where most of the process heat that's used in food and drink, textiles or pharmaceuticals comes from the burning of fossil fuels.
Other research groups, such as the US National Renewable Energy Laboratory are actively looking at sand as a viable form of battery for green power.
But the Finns are the first with a working, commercial system, that so far is performing well, according to the man who's invested in the system.
"It's really simple, but we liked the idea of trying something new, to be the first in the world to do something like this," said Pekka Passi, the managing director of the Vatajankoski power plant.
"It's a bit crazy, if you wish, but I think it's going to be a success."
Follow Matt on Twitter @mattmcgrathbbc.
Mimi na uzee wangu huu sina nyogo ya ku-side na upande wowote katika vita ya Urusi na Ukraine: nimefunzwa kuchukua maovu dhidi ya viumbe haiNdo kwanza initial stages haiwezi kuwa replacement ya gas haraka hivyo bwashehe itachukua miaka.
Putin kanyaga twende, we kimbiza gari mashimo tutakwepa abiria