Matatizo ni mtaji: Finland imegundua njia mbadala ya nishati

Matatizo ni mtaji: Finland imegundua njia mbadala ya nishati

mtoa mada ingekuwa mambo yako ivyo ujerumani yenye uchumi mkubwa ulaya nzima wangeshatumia iyo njia lakini ndio ivyo gesi asilia aina mbadala duniani ulaya watakuwa tegemezi kwa gesi asilia generation to generation
Hiyo teknolojia ndio imeanza sasa unataka Ujerumani waitumie tu ndani ya masaa wakati hata huko Finland kwenyewe bado haijaenea.

Mambo kama haya hayawafurahishi Mujahedeen na jihadists kwa ujumla.
 
Back
Top Bottom