Matatizo ni mtaji: Finland imegundua njia mbadala ya nishati

Kwaiyo wale matajiri wapatao 15000 wa kirusi walioikimbia nchi yao na kukimbilia Dubai na Uturuki na kuwekeza huko kutokana na vikwazo ilivyowekewa Russia na kuhatarisha utajiri wao watarudi nyumbani kwao Urussi ili kuwekeza kwenye RUB??
Ngonjera hazisaidii kitu , hali halisi inaonyesha nani ambae ana wakati mgumu kwa sasa.....matajiri ni kapunje kadogo tu ka raia wa urusi wakati upande wa pili wanaosaga meno ni maelfu tena wananchi tu wa kawaida
 
Matrilioni ??!
 
Nishati ya nyuklia iliwezekana muda mrefu baada ya Mafuta kugunduliwa lakini Ufaransa waliamua 75% ya mahitaji yao ya nishati yawe nyuklia. Subiria siku zipatikane teknolojia nzuri za kuhifadhi Nishati ya jua kwa muda mrefu utapata majibu mazuri ya maswali yako yote.
 
China ni nchi namba moja duniani kwa matumizi ya green energy lakin mpaka leo hii anaagiza mapipa kwa mapipa kutoka urusi , pia wamechimba bomba litakalo weza kusafirisha gesi kutoka urusi mpaka China huu ni mpango wa muda mrefu . unadhani itakuwa ni rahisi kuachana na matumizi ya mafuta na gesi hilo jambo kutakuwa ni gumu. Kitu pekee china wanachofanya kwa Sasa wapo wanabuni teknolojia ambayo itafanya mafuta yasitoe hewa chafu na sio kwenye mafuta tu hata kwenye makaa ya mawe hilo jambo ndio wanalifanyia majaribio Sasa.
 
Hii ni habar mbaya sana kwao ndo maana wanapinga. Watu walishajiandaa kuachana na nishati ya Mrusi, ni suala la muda tu.
 
Ni suala la muda tu kabla mbadala wa mafuta na gesi haujapatikana, na itakuwa pigo kubwa sana kwa madikteta wanaokalia rasilimali hizo.
Ni kweli, suala la muda tu. Warusi wa mbagala kibonde maji hawaamini kama haya yatawezekana.
 
Hivi hii gesi asilia si ndio tulionayo sisi huku kwetu?kwanini nchi yetu sasa isichangamkie hiyo fursa...?
 
China huwa inakopi Teknolojia Ulaya na Marekani. Wachina pia sio watu wanaojali sana kuhusu mazingira, haki za wafanyakazi, mazingira ya kazi n.k Wao ajenda yao ni moja tu, ya ukuaji wa uchumi kwa hali zozote. Robo ya wachina bado wanaishi kwenye Umaskini.
 
Mkuu nikurekebishe kidogo china ya Sasa sio ile ya kina Deng Xiaoping ambayo kwa kila namna ilikuwa inaya kila kinachewezekana ilimradi wapate rapid succession kwa muda mfupi hata mazingira hawakujali lakin china hii ya Xi Jinping inajali Sana mazingira


Pia serikali ya china ya Sasa inafanya kila inalo weza kuinvest alot of money ili iwezi kutawala na kuongoza kwenye uvumbuzi wa teknolojia kwa hiyo sio sahihi kusema Wana copy wakati unamzungumzia china ya Sasa sio ya kina Deng Xiaoping
 
Wamekariri hao
 
China wako billion 1.3, per Capita unachukua Jumla/Idadi ya watu. Kwa Jumla anayeongoza ni US, China anafuatia namba 2 na atampiku US muda sio mrefu kuzalisha gesi ya CO2
 
China wako billion 1.3, per Capita unachukua Jumla/Idadi ya watu. Kwa Jumla anayeongoza ni US, China anafuatia namba 2 na atampiku US muda sio mrefu kuzalisha gesi ya CO2
Kwa hiyo statista walio toa takwimu hawakuzingatia hayo mkuu ulioeleza. na wao kumuweka china mbali Sana na U.S.A?
 
Ndo kwanza initial stages haiwezi kuwa replacement ya gas haraka hivyo bwashehe itachukua miaka.
Putin kanyaga twende, we kimbiza gari mashimo tutakwepa abiria
 
Ndo kwanza initial stages haiwezi kuwa replacement ya gas haraka hivyo bwashehe itachukua miaka.
Putin kanyaga twende, we kimbiza gari mashimo tutakwepa abiria
Mimi na uzee wangu huu sina nyogo ya ku-side na upande wowote katika vita ya Urusi na Ukraine: nimefunzwa kuchukua maovu dhidi ya viumbe hai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…