I Imeloa JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 14,885 Reaction score 18,083 Jul 7, 2022 #41 political monger senior said: mtoa mada ingekuwa mambo yako ivyo ujerumani yenye uchumi mkubwa ulaya nzima wangeshatumia iyo njia lakini ndio ivyo gesi asilia aina mbadala duniani ulaya watakuwa tegemezi kwa gesi asilia generation to generation Click to expand... Hiyo teknolojia ndio imeanza sasa unataka Ujerumani waitumie tu ndani ya masaa wakati hata huko Finland kwenyewe bado haijaenea. Mambo kama haya hayawafurahishi Mujahedeen na jihadists kwa ujumla.
political monger senior said: mtoa mada ingekuwa mambo yako ivyo ujerumani yenye uchumi mkubwa ulaya nzima wangeshatumia iyo njia lakini ndio ivyo gesi asilia aina mbadala duniani ulaya watakuwa tegemezi kwa gesi asilia generation to generation Click to expand... Hiyo teknolojia ndio imeanza sasa unataka Ujerumani waitumie tu ndani ya masaa wakati hata huko Finland kwenyewe bado haijaenea. Mambo kama haya hayawafurahishi Mujahedeen na jihadists kwa ujumla.