Matatizo ya kiakili ndiyo yanayokufanya ukanushe uwepo wa Muumba

Kuamini bing bang ni Matatizo ya akili ya kiwango cha juu kabisa

Mtoa mada uko sahihi kabisa yani
 
Mungu mnayemtajataja si huyo aliyekuwepo,huyu mungu wa wanasiasa ndo mnamuabudu nyie.
 
Nmekukubali mkuu hao wasio kili uwepo wa Mungu tunawaita manugu
 
MLeta mada uko sawa sawia..Hata Muumba husema wale wenye akili timamu ndo hukaa na kufikiria uumbaji wangu na kunitukuza.
 
Kuna hoja hapa.
Yeah biblia nayo indirectly imetaja uwepo wa miungu miwili.
Kuna yule Mungu wa Ibrahim na kuna Mungu mkubwa alie juu Mungu wa Melkizedeki alie kua kuhani na mfalme wa Salem sasa Jerusalem.
Pitia mwanzo 14 halafu jiulize wakazi original wa Salem walikua wana imani ipi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…