Matatizo ya kiakili ndiyo yanayokufanya ukanushe uwepo wa Muumba

Matatizo ya kiakili ndiyo yanayokufanya ukanushe uwepo wa Muumba

Mungu alituletea mitume ndio wawe wawakilishi wake kulikuwa hakuna shida yoyote baada ya mitume ndio mikono ikatiwa kwenye vitabu na kuchinjana kukaanzia hapo.
Naaam "" kweli kabisa...baada ya hapo ndio wakaanza kuchakachua kwajili ya maslahi yao ya kiutawala"" sass kama hivyo ndivyo basi niwazi kwamba ""...,binaadamu tuna kazi kubwa sana ",...
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Contrary tupu kwenye mavitabu
cryinglaughsmiley.gif
 
Jinsi tulivyo karibu na jua na jinsi Solar radiation inavyodhibitiwa na Earth magnetic field ni uthibitisho tosha kuwa tumeumbwa.
 
Wanayo ya kurogwa rogwa tu sio ya UCHIZI.
Matatizo ya akili ya kurogwA na yasio ya kurogwa yakoje???

Na kama unamuamini mungu na mungu muweza wa yote anakulinda kwanini aruhusu urogwe na upate matatizo ya akili ya kurogwa?
 
Sawa umetafakari vizuri, muumba wa vyote yupo, kama maisha yapo baada ya kifo, tutamfikia kwa kutumia imani gani? Ukristu kuna mgawanyiko mkubwa na islamu kuna aina mbili, nishauri nitumie imani gani? Lakini uliposema wasioamini wana upeo mdogo, akina Karl Max walikua na upeo mdogo? Naona wanaotumia reason zaidi kuliko faith wana upeo mpana zaidi.
 
Matatizo ya akili ya kurogwA na yasio ya kurogwa yakoje???
Ya kurogwa ni yale yanatibika kwa kutumia tiba za kidini

Ya wasioamini chochote ndio ukisikia WAZIMU Schizophrenia paranoid.
 
Darwin alianza vizuri alipomuondoa mungu kwenye kazi zake akafa akiwa CHIZI.
 
Wanasayansi wasioamini uwepo wa Mungu ni machizi? Unatumia vitu walivyogundua unawaita chizi? Tunaosema ni machizi tuende mirembe tukacheki afya zetu
 
Ya kurogwa ni yale yanatibika kwa kutumia tiba za kidini

Ya wasioamini chochote ndio ukisikia WAZIMU Schizophrenia paranoid.
Kwahiyo unakiri waamini mungu hurogeka?? Why mungu asizuie nyie kurogwa ili kuwaepusha na madhara ya kurogwa?
 
Hivi Allah ndo Jesus?
Hapana, Allah sio Jesus. Na tambua kuwa neno "ALLAH" ni kwalugha ya kiarabu tu ila kiswahili ni Mungu. Kama unavyosema jesus/yesu.
Nikijibu huu uzi utafanywa muhadhara wa dini,hapatatosha humu.
Huo ni mtazamo wako sidhani kama muuliza swali alikua na wazo hilo.
Mi nimemjibu naamini amenielewa.
 
Sawa umetafakari vizuri, muumba wa vyote yupo, kama maisha yapo baada ya kifo, tutamfikia kwa kutumia imani gani? Ukristu kuna mgawanyiko mkubwa na islamu kuna aina mbili, nishauri nitumie imani gani? Lakini uliposema wasioamini wana upeo mdogo, akina Karl Max walikua na upeo mdogo? Naona wanaotumia reason zaidi kuliko faith wana upeo mpana zaidi.
Hapo sasa
 
Kwahiyo unakiri waamini mungu hurogeka?? Why mungu asizuie nyie kurogwa ili kuwaepusha na madhara ya kurogwa?
Kwanini wasirogeke kaka ? Waamini wa Mola huwa wanapewa mitihani ili kuthibiti katika imani zao juu ya Mola wao.

Pili mtihani wa yule mwenye imani thabiti ni mkubwa kuliko yule mwenye imani haba na mfano wake.
 
Kwahiyo unakiri waamini mungu hurogeka?? Why mungu asizuie nyie kurogwa ili kuwaepusha na madhara ya kurogwa?
Ndio maana ukifatilia habari za mitume na manabii wa kweli walikuwa wanapewa mitihani mizito sana kuliko kuliko binadamu wa kawaida.
 
Back
Top Bottom