Matatizo ya kiakili ndiyo yanayokufanya ukanushe uwepo wa Muumba

hakuna Mwenye Uhakika na hilo "" so inabaki kuwa ni coincidence tu "" kukosa kwetu kujibu maswali magumu haiwezi kuwa sabbu ya sisi kukimbilia " kusingizia uwepo wa Mungu ""....
Maswali gani hayo magumu?
Kwa hiyo kwa vile umeshindwa kujibu maswali magumu ndio ukaamua kuwa mpagani?
 
Hahaaaa. Tumia uwezo wako wa kufikiri. Usipede uambiwe alafu ufuate
 
Ajabu ni pale MTU anakanusha uwepo wa Mungu Ila anakubali ana ubongo ilhali hajawahi ona ubongo wake wala kugusa anategemea ushahidi wa wengine
Ajabu ni pale mnapokiri uwepo wa mungu kwa kutazama mnavyoviona huku mkisahau kujiuliza huyo mungu yeye aliumbwa na nani
 
Kwahiyo jibu ni kuwa mungu yupo?

Ama nimezaliwa kwa watu mambumbumbu
 
Hivi nikikwambia kuwa kiuhalisia hakuna kitu kinaitwa Tanzania utakubali?
 
Allah ni mungu ,kwa wakristo yesu ni mungu je unakubali yesu ni Allah?
Kwa logic ya
If A=B=C,then C=A
 
Kwahiyo jibu ni kuwa mungu yupo?

Ama nimezaliwa kwa watu mambumbumbu
Wewe Tumia akili, Jibu ni kwamba hakuna kinachoweza kutokea chenyewe kwa umaridadi
wa aina hiyo bila kuwepo kwa aliyekiumba/ kitengeneza.
 
Mwenyezi Mungu ni MMOJA Tu ...Mungu wa Ibrahim ndo huyo huyo wa ulimwengu mzima na vilivyomo na hana mshirika katika ufalme wake.
Umeisoma hiyo Genesis 14:18-20 ukaelewa content yake vizuri.
Au umekuja na jibu hili kwakua wewe ni mwendaji kanisani tu, ukimezeshwa basi..
 
Kusema aina mbili ni Shia na Suni, si kungekua na aina moja tu inayomcha Mungu? angalia ukristu, madhehebu kibao, ni Mungu gani huyo? Ndio maana nikahisi dini zimetungwa na wajanja. Mimi nimeacha ukristu ila Mungu wangu ni siri yangu na ananiongoza vizuri. Imani za kiafrika nazipenda zaidi kuliko za kizungu
 
Allah ni mungu ,kwa wakristo yesu ni mungu je unakubali yesu ni Allah?
Kwa logic ya
If A=B=C,then C=A
Hahaha,kaka unapotea mlango ulioingilia ni wakutokea. Kwahiyo rudi ulikotoka ili upite unapotakiwa kupita.
 
Hao wadudu wanaitwa vimulimuli au kimulimuli mkuu
 
Ndo maana kwenye maandiko yanasema kuwa kila mtu atahukumia kwa kutokana na moto
 
Buree kabisa
 
..........Hakuna duniani atakeyeishi milele.soon sote kila mmoja kwa nafasi yake,wakati wake na style yake ataenda kujionea tena kwa ulazima sio ombi,lazima kwamba Mungu yupo au hayupo?

Ni muda tu na hivi dunia sasaivi imejaa vurugu,maradhi yasiyo tiba na ajali zisizoisha basi tusipigiane sana kelele.
Wewe amini usiamini muache yule aamini ila itakapokujia action ujue ni namna gani utavyo-deal nayo.

Kiumbe mjinga mjinga huwezi hata kuijua nusu saa ijayo kitakupata kitu gani unakaa kusema hakuna anayekupangia mtiririko wa maisha yako?unashindwa hata kujua kwamba kesho utafukuzwa kazi japo ni kitu ambacho kipo ndani ya uwezo wako?punguani kabisa.

Usini-quote,wala sitahangaika kubishana na wewe!
 
Kwa kuwafahamu wadudu hawa tu, nilikwisha jitafakari na kuamini kuwa Mungu yupo na yawezekana kwa asilimia 99% kuwa wapo Alliens (viumbe wengine wa ajabu) tusio waona..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…