Matatizo ya Mzio (Allergies) Mbalimbali: Visababishi, Madhara, Kinga na Tiba

Uwe unazifua kwanza kuondoa yale mafuta ndo yanaleta shda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaalej n kondom

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm kuna demu wangu yaani condom zinamletea allegy hivo tena sio kwamba akivaa yy yaani nikivaa mm tu.sasa hataki hata kusikia yaani mtagombana kbsa seriously yaani nikumwagia nje tu wazungu

Hii tabia ya mademu kukataa kondomu kwa kisingizio cha allergy naona inazidi maana nimeshawaona kadhaa wa sampuli hiyo yaani ukilazimisha kuvaa bora asifanye na atafoc kukuvua cjui wana maana gani[emoji33] [emoji33]
 
Gridi ya Taifa... Kilovoti 800,000 !

-Kaveli-
 
Hii tabia ya mademu kukataa kondomu kwa kisingizio cha allergy naona inazidi maana nimeshawaona kadhaa wa sampuli hiyo yaani ukilazimisha kuvaa bora asifanye na atafoc kukuvua cjui wana maana gani[emoji33] [emoji33]
Kwel mkuu hii tabia naona inazid kuota mizizi taratibu
 
Kwel mkuu hii tabia naona inazid kuota mizizi taratibu
Daaah! Na muda huo unakuta anazngua kwny last point kbs muda huo kidume unawaza kwa kutumia kichwa kidogo,kikubwa hakifanyi kazi kbs! Sema nn sahv bora kuwakazia tu unainuka unavaa huyooo!
 
Kwema wanajamvi,

Mimi ni muhanga wa vyakula vya ngano. Toka nimezaliwa mpaka sasa nina elekea kufika umri wa miaka 29-30 hivi sijawai kutia chakula cha ngano mdomoni sio; mkate, keki, andazi, chapati, biscuit, pizza, tambi, burger, beer.

Kwa kifupi chakula au kinywaji chochote chenye nutrients za ngano ndani kwangu imekua mtihani toka kuzaliwa. Natamani sana kula hivi vyakula, wazee wangu wamefanya kila liwezekanalo lakini wapi.

1. Hivi kuna tiba kweli ya hii kitu?
2. Una ushuhuda wa mtu aliekua na tatizo kama hili na leo hii ana kula ngano bila shida?

Wataalam wa mambo ya Allergies msaada tafadhali.
 
Mi nilijua ukila vinakuletea matatizo fulani ya kiafya kumbe hutaki kabisa kutia hivyo vyakula mdomoni. PAMBANA NA HALI YAKO TU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…