Matatizo ya Samsung Galaxy S Series used hasa za kutoka Dubai

Matatizo ya Samsung Galaxy S Series used hasa za kutoka Dubai

Funny boe

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2023
Posts
3,637
Reaction score
8,214
Habari wakuu ..!

Msimu ujao wa sikukuu hizi za wakristu na waislamu hasa pasaka, wauzaji na maduka mengi hasa ya simu huwa yanatoa offer kwa bidhaa zao.

Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye hizo offer ila nimefatilia mara kadhaa kwenye mitandao na maoni ya watu wanasema hayo maduka mengi yana hizi simu used from dubai na zina shida ukitumia miezi kadhaa tu inaanza kuleta mistari kwenye kioo bila sababu yoyote.

Sasa kila nikifikiria hivo hadi nakata tamaa na kujisikia vibaya kabisa, nifanyeje wakuu

Naombeni muongozo kwa wajuvi wa haya masuala

NB: bajeti yangu haizidi 600K Tshs.

Reuben Challe
Mwl.RCT
 
Actually suala la mistari ya kijani ni common kwa simu kama S22 Ultra lakini linaweza kumkumba mtu yoyote aidha unatumia used au mpya, simu inaweza kuleta mistari. About 5% to 10% ya simu za Samsung (S series) zinapata greenlines
So inategemea na simu utakayopata ila siwezi kukupa guarantee kuwa itapata au haitapata mistari.

Pia sijawahi kutumia simu used, juzijuzi hapa waliniibia simu nikanunua hii Pixel 7A ambayo ni used. So ni mara ya kwanza kutumia simu used, hii yangu ipo vizuri tu, ila siwezi kujua simu nyingi used huwa zina ubora gani
Maybe tumuulize Chief-Mkwawa
 
Actually suala la mistari ya kijani ni common kwa simu kama S22 Ultra lakini linaweza kumkumba mtu yoyote aidha unatumia used au mpya, simu inaweza kuleta mistari. About 5% to 10% ya simu za Samsung (S series) zinapata greenlines
So inategemea na simu utakayopata ila siwezi kukupa guarantee kuwa itapata au haitapata mistari

Pia sijawahi kutumia simu used, juzijuzi hapa waliniibia simu nikanunua hii Pixel 7A ambayo ni used. So ni mara ya kwanza kutumia simu used, hii yangu ipo vizuri tu, ila siwezi kujua how majority of used phones act
Maybe tumuulize Chief-Mkwawa
Nahisi hilo suala la mistari ni kwa Samsung phones pekee.

Na napenda kumiliki Samsung kuliko simu nyingine zozote, huko kwenye pixels stimu zinanikata kabisa
 
Nahisi hilo suala la mistari ni kwa Samsung phones pekee.

Na napenda kumiliki Samsung kuliko simu nyingine zozote, huko kwenye pixels stimu zinanikata kabisa
Hata simu za makampuni mengine zinapata mistari lakini Samsung ndio zinaonekana kwa wingi kwa sababu wanatengeneza simu nyingi
Kuna model kama Sony Xperia 5 II, 5 III na 5 IV nazo zinapata sana mistari. Pamoja na hizo Samsung S21 series, S22 series, hadi baadhi ya S24 series, baadhi ya One Plus pia. Inakuwa kama unabeti, unapaswa kubahatisha ambayo haitakuletea mistari mbeleni
 
Duh! Je suluhisho la haya yote ni nini?

Sijaona ukiitaja S23 Ultra
 
Simu nyingi used hasa za Dubai huwa zimebadilishwa vioo asili na kamera.. na kuwekewa vioo feki vya kichina..unashangaa unauziwa Samsung S 23 Utra kwa laki 4 wakati bei halisi ya kioo OG ni sawa bei ya simu ile pale kariakoo..
 
Duh! Je suluhisho la haya yote ni nini?

Sijaona ukiitaja S23 Ultra
Kwa watu wengi wanaonunua simu mpya wakipata green lines Samsung huwa wanawabadilishia kioo bure, as long as they have a warranty
S23 Ultra nazo zinapata green lines, S24 Ultra pia japo kuanzia hapo kwenda juu cases za green lines zimepungua, ila kwa S23 zipo nyingi tu, hadi Samsung wenyewe wanakiri
90% to 95% ya hizo S series hazipati green lines mapema, huenda zikaja kutokea mbeleni huko hata baada ya warranty kuisha au zisitokee kabisa . Kwa used naamini risk ni kubwa zaidi
 
Hata simu za makampuni mengine zinapata mistari lakini Samsung ndio zinaonekana kwa wingi kwa sababu wanatengeneza simu nyingi
Kuna model kama Sony Xperia 5 II, 5 III na 5 IV nazo zinapata sana mistari. Pamoja na hizo Samsung S21 series, S22 series, hadi baadhi ya S24 series, baadhi ya One Plus pia. Inakuwa kama unabeti, unapaswa kubahatisha ambayo haitakuletea mistari mbeleni

Mistari kwenye kioo kwa kiasi kikubwa hutokana na kuanguka/kugongwa gongwa kwa simu......
Kwa hiyo tatizo sio simu, tatizo ni utunzaji
Na Ujue Samsung S - Ultra, inakioo kikubwa sana na ni nzito; hivyo uwezekano wa kupata madhara ikiangushwa ni mkubwa zaidi. Unaweza kwenda S-plain ambazo ni ndogo kwa size; sijasikia hiyo changamoto kwa hizo ndogo
Japo ni kweli kuwa S20 - S22 zinaonekana kutokushika sana soko.....
 
Hakuna simu used from Dubai, huko Dubai hakuna kiwanda cha simu.

Ni samsung fake kutoka china kwa kuwa zina ubora hafifu wanazipachika jina la Used ili ikikufia usilalamime sana
Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye hizo offer ila nimefatilia mara kadhaa kwenye mitandao na maoni ya watu wanasema hayo maduka mengi yana hizi simu used from dubai na zina shida ukitumia miezi kadhaa tu inaanza kuleta mistari kwenye kioo bila sababu yoyo
 
Kiongozi, Unauhakika na mistari kwenye Flagship ya Samsung S series ?
Kwa miaka mingi Samsung Note na S series ndio moja ya simu bora kabisa Duniani ; huwezi kulinganisha hata kwa karibu na simu za pixel. Pixel ni kwa wanaotaka Camera ila kama unataka simu, nenda na Samsung na ukifika bei ya S series umemaliza kila kitu kwani unapata Simu & Camera...
Kwanza kabisa, Samsung simu zao ni nzuri kuliko Pixel always especially tukiongelea kwenye chipset ambayo ndio kitu cha muhimu sana kwenye simu. Samsung ni kampuni ambayo imefocus sana kwenye simu, plus wanatumia Snapdragon processors ambazo ni powerful kuliko Google Tensor, Galaxy AI ipo vizur, Goodlock, Samsung Dex, customization & features, so of course simu zao ni nzuri kuliko Pixel

Pili, issue ya green lines ni kweli. Hili suala limeongelewa mitandaoni mara nyingi
Technically about 5% to 10% ya Samsung S series hupata green lines. 90% to 95% hawapati hii issue lakini suala la mistari linaongelewa sana kwa sababu ni tatizo kubwa, yani linafanya usifurahie simu

Kuna info nyingi sana mitandaoni kuhusu green lines

View: https://www.reddit.com/r/Android/comments/1p9x65b/samsung_green_lines_issue_is_back_users_claim/

eu.community.samsung.com https://eu.community.samsung.com/t5/galaxy-z-fold-z-flip/green-vertical-line-issue/td-p/11167815

Screenshot_20260226-221407.png

Ni common kwa S22 kushuka chini na some fewer new models, yani baadhi ya S23 na S24 etc
 
Mistari kwenye kioo kwa kiasi kikubwa hutokana na kuanguka/kugongwa gongwa kwa simu......
Kwa hiyo tatizo sio simu, tatizo ni utunzaji
Kuangushwa hata iPhone zinaangushwa sana lakini hazina shida kubwa ya green lines kama Samsung S series ukizingatia iPhone ndio wanauza flagship nyingi kuliko Samsung
Actually kuangusha simu mara nyingi ni moja ya sababu zinazopelekea green lines lakini kwa Samsung S series sababu ni more than just that.
Simu nyingi zinaangushwa lakini kuna certain models zinapata sana green lines kuliko nyingine, why?
Mfano Sony Xperia 5 II, III na IV zinapata sana green lines lakini Sony Xperia 1 II, III na IV green lines ni very rare. Je watumiaji wa Xperia 1 series wanatunza sana simu zao kuliko wa 5 series? Hapana
Screenshot_20260226-221929.png
 
Hakuna simu used from Dubai, huko Dubai hakuna kiwanda cha simu.

Ni samsung fake kutoka china kwa kuwa zina ubora hafifu wanazipachika jina la Used ili ikikufia usilalamime sana
Lakini nasikia zinapokea hadi updates mpya za Samsung kabisa
 
Kuangushwa hata iPhone zinaangushwa sana lakini hazina shida kubwa ya green lines kama Samsung S series ukizingatia iPhone ndio wanauza flagship nyingi kuliko Samsung
Actually kuangusha simu mara nyingi ni moja ya sababu zinazopelekea green lines lakini kwa Samsung S series sababu ni more than just that.
Simu nyingi zinaangushwa lakini kuna certain models zinapata sana green lines kuliko nyingine, why?
Mfano Sony Xperia 5 II, III na IV zinapata sana green lines lakini Sony Xperia 1 II, III na IV green lines ni very rare. Je watumiaji wa Xperia 1 series wanatunza sana simu zao kuliko wa 5 series? Hapana
View attachment 3549261
Mkuu, what's your take?
 
Back
Top Bottom