Matatizo ya Samsung Galaxy S Series used hasa za kutoka Dubai

Matatizo ya Samsung Galaxy S Series used hasa za kutoka Dubai

Kwa watu wengi wanaonunua simu mpya wakipata green lines Samsung huwa wanawabadilishia kioo bure, as long as they have a warranty
S23 Ultra nazo zinapata green lines, S24 Ultra pia japo kuanzia hapo kwenda juu cases za green lines zimepungua, ila kwa S23 zipo nyingi tu, hadi Samsung wenyewe wanakiri
90% to 95% ya hizo S series hazipati green lines mapema, huenda zikaja kutokea mbeleni huko hata baada ya warranty kuisha au zisitokee kabisa . Kwa used naamini risk ni kubwa zaidi
S23 ultra nyingi hazipati green lines sababu kioo chake sio curved kama s21 ultra kushuka chini.

So ni toleo kuanzia s23 ultra kupanda juu kesi za green lines zimepungua sana.
 
S23 ultra nyingi hazipati green lines sababu kioo chake sio curved kama s21 ultra kushuka chini.

So ni toleo kuanzia s23 ultra kupanda juu kesi za green lines zimepungua sana.
Hazipati sana greenlines ukifananisha na Samsung zilizopita
Ila ukifananisha na simu za makampuni mengine, S23 series zinapata greenlines
 
Tumia hii website

Bei yake ipo kwa hela za Kenya so zidisha kwa 20 kupata hela za Tanzania.

Ukiona bei za refurb za Dubai na humo hazitofautiani Sana vyema nunua mpya, yenye warranty ya Africa, itakuondolea stress zisizo na lazima, hata ukibanja kioo utachajiwa Tu hela ndogo ya matengenezo.
Mkuu kuna shop ya Samsung nilinunua hii S24 ultra yangu hapa Nairobi wako chini kuliko Avechi. Kama kuna MTU atahitaji anicheki nimsaidie kununua na kutuma kwa ujira ndogo.
 
Mkuu kuna shop ya Samsung nilinunua hii S24 ultra yangu hapa Nairobi wako chini kuliko Avechi. Kama kuna MTU atahitaji anicheki nimsaidie kununua na kutuma kwa ujira ndogo.
Ulinunua kwa bei gani
 
Kuangushwa hata iPhone zinaangushwa sana lakini hazina shida kubwa ya green lines kama Samsung S series ukizingatia iPhone ndio wanauza flagship nyingi kuliko Samsung
Actually kuangusha simu mara nyingi ni moja ya sababu zinazopelekea green lines lakini kwa Samsung S series sababu ni more than just that.
Simu nyingi zinaangushwa lakini kuna certain models zinapata sana green lines kuliko nyingine, why?
Mfano Sony Xperia 5 II, III na IV zinapata sana green lines lakini Sony Xperia 1 II, III na IV green lines ni very rare. Je watumiaji wa Xperia 1 series wanatunza sana simu zao kuliko wa 5 series? Hapana
View attachment 3549261
Wewe jamaa bhana yaani iphone zinauzwa nyingi kuliko Samsung mnachukulia takwimu za Nchi zilizoendelea mnazileta bongo Samsung simu zake nyingi bei nafuu zinauzwa nyingi Nchi masikini kuliko Iphone.
 
Wewe jamaa bhana yaani iphone zinauzwa nyingi kuliko Samsung mnachukulia takwimu za Nchi zilizoendelea mnazileta bongo Samsung simu zake nyingi bei nafuu zinauzwa nyingi Nchi masikini kuliko Iphone.
Mimi naongelea worldwide kwa sababu shida ya green lines kwenye baadhi ya models za Samsung ni worldwide. Usije ukadhani green lines zinawakuta Watanzania pekee
Halafu models ambazo zilikuwa zinapata sana green lines ni S series ambazo ni flagship na ni equivalent ya iPhones, sio hizo A series ambazo ndio zinauzwa sana Africa na nchi masikini
Na takwimu za kidunia, sio nchi zilizoendelea au nchi masikini, yani dunia nzima, worldwide kiujumla flagship za iPhone zinauzwa kuliko za Samsung
Na tukiongelea green lines tunaongelea flagship za Samsung za S23 kushuka chini, hatuongelei A series zinazouzwa kwa wingi nchi masikini. Green lines hazijawahi kuwa major problem kwenye Samsung za bei rahisi
 
Inawezekana kwa baadhi ya Nchi zinaingia simu ambazo hazina viwango vyao mimi natumia Samsung S series sijui hilo tatizo toka 10+ mpaka sasa tupo kwenye S 24 na pia hii tu nayotumia inakaa sana na charge na muda wote ipo kazini ntahamia kwenye S 26 soon kwa sababu wao wanakaa na chaji masaa zaidi ya 24 zipo hapa..
Nilikua natumia Iphone sema niliachana nao kwa sababu ishu ndogo tu kununua Online App inahitaji mambo mengi ila ni simu bora sana sana..
 
Brand new ,na nikapata screen warranty ya mwaka mmoja
Mkuu huko sijui kitu sijawahi kununua simu Tanzania maana kwanza bei zao sio rafiki hapa simu unauziwa ikiwa na warranty ya muda mrefu simu yenyewe sio kioo tu
20260831_092057.jpg
20260831_092112.jpg
20260831_092048.jpg
ila ndio bei zao zimesimama kidogo..
 
Inawezekana kwa baadhi ya Nchi zinaingia simu ambazo hazina viwango vyao mimi natumia Samsung S series sijui hilo tatizo toka 10+ mpaka sasa tupo kwenye S 24 na pia hii tu nayotumia inakaa sana na charge na muda wote ipo kazini ntahamia kwenye S 26 soon kwa sababu wao wanakaa na chaji masaa zaidi ya 24 zipo hapa..
Nilikua natumia Iphone sema niliachana nao kwa sababu ishu ndogo tu kununua Online App inahitaji mambo mengi ila ni simu bora sana sana..
Mkuu ukiambiwa Samsung S20, S21, S22 etc zilikuwa na shida ya green lines haimaanishi kila S20 inapata green lines
Halafu mbona mi naona ni simple sana kuelewa. Kama ulitumia S10 na haikupata green lines, tatizo liko wapi. Hakuna anayesema kila simu ya S series inapata green lines, ni kwamba watumiaji wengi wa Samsung walioathirika na green lines walikuwa ni watumiaji wa hizo models. Sio eti ilikuwa inatokea kwenye kila handset
 
Back
Top Bottom