Matatizo ya Samsung Galaxy S Series used hasa za kutoka Dubai

Hakuna simu used from Dubai, huko Dubai hakuna kiwanda cha simu.

Ni samsung fake kutoka china kwa kuwa zina ubora hafifu wanazipachika jina la Used ili ikikufia usilalamime sana
Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye hizo offer ila nimefatilia mara kadhaa kwenye mitandao na maoni ya watu wanasema hayo maduka mengi yana hizi simu used from dubai na zina shida ukitumia miezi kadhaa tu inaanza kuleta mistari kwenye kioo bila sababu yoyo

Lakini nasikia zinapokea hadi updates mpya za Samsung kabisa
Jichanganye
 
Habari wakuu ..!

Msimu ujao wa sikukuu hizi za wakristu na waislamu hasa pasaka, wauzaji na maduka mengi hasa ya simu huwa yanatoa offer kwa bidhaa zao.

Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye hizo offer ila nimefatilia mara kadhaa kwenye mitandao na maoni ya watu wanasema hayo maduka mengi yana hizi simu used from dubai na zina shida ukitumia miezi kadhaa tu inaanza kuleta mistari kwenye kioo bila sababu yoyote.

Sasa kila nikifikiria hivo hadi nakata tamaa na kujisikia vibaya kabisa, nifanyeje wakuu

Naombeni muongozo kwa wajuvi wa haya masuala

NB: bajeti yangu haizidi 600K Tshs.

Reuben Challe
Mwl.RCT
Mimi mbona simu yangu ya Samsung nilinunua Dubai used huu mwaka wa 3 haijawahi kunisumbua hadi leo na nina mpango wa kununua nyingine hii naiweka pembeni kwa ajili ya emergency tu.
Hapo labda inategemea na uaminifu wa muuzaji,wauzaji wawili tofauti wanaweza wakaenda kununua simu Dubai mmoja akachukua mzigo wenye quality na mwingine akachukua mzigo mbovu kwa bei cheap sana ili apige faida ndefu yaani inakuwa imetegeshwa tu ukishanunua baada ya miezi 3 inabuma.
 
Uliipataje mkuu?
 
Hizo Samsung mtakua mnanunua zenye matatizo tayari mimi mbona natumia hizo S series wala sipati hayo matatizo ila simu zangu nanunua mpya kwa kaburu...
mimi nadhani mnapopata matatizo ni vizuri kununua simu mpya sio hizi zilizokwisha kutengenezwa harafu mnakuja na majibu ya moja kwa moja..
 
Ni simu gani pia
 
Naam, hata mimi nimeona kwa usalama zaidi ni kununua simu mpya tu japo bei zake zinakuwa zimeondoka sana
 
Nunua simu mpya dukani kwenye maduka ya samsung sio hizo used utajaza review balaa wakati wenye hizo simu wanatumia bila shida..
 
Naam, hata mimi nimeona kwa usalama zaidi ni kununua simu mpya tu japo bei zake zinakuwa zimeondoka sana
Tumia hii website

Bei yake ipo kwa hela za Kenya so zidisha kwa 20 kupata hela za Tanzania.

Ukiona bei za refurb za Dubai na humo hazitofautiani Sana vyema nunua mpya, yenye warranty ya Africa, itakuondolea stress zisizo na lazima, hata ukibanja kioo utachajiwa Tu hela ndogo ya matengenezo.
 
mnunue note series sijaona hiyo changamoto

labda ukiweka protector inakuw nzito kutachi
 
Tumia hii website

Bei yake ipo kwa hela za Kenya so zidisha kwa 20 kupata hela za Tanzania.

Ukiona bei za refurb za Dubai na humo hazitofautiani Sana vyema nunua mpya, yenye warranty ya Africa, itakuondolea stress zisizo na lazima, hata ukibanja kioo utachajiwa Tu hela ndogo ya matengenezo.
Nafikiri ningepata agent wa uhakika akaninunulia full display huko Dubai ingekuwa less expensive kuliko hapa bongo

Reuben Challe
 
Acheni kukalili Samsung

Chukua huu mzigo

Motorola Moto G86 Power 5G 8GB 512GB
★★★★★(2 customer reviews)
Add to wishlist19Add to compare
Display: 6.72”
Back Camera:50MP+8MP
Front Camera: 32MP
Processor: Mediatek Dimensity 7300 (4 nm)
Colour: Pantone: Spellbound, Golden Cypress, Cosmic Sky, Chrysanthemum
Battery: 6720mAh
KSh39,199.00Original price was: KSh39,199.00.KSh33,499.00Current price is: KSh33,499.00.
 
Back
Top Bottom