Actually suala la mistari ya kijani ni common kwa simu kama S22 Ultra lakini linaweza kumkumba mtu yoyote aidha unatumia used au mpya, simu inaweza kuleta mistari. About 5% to 10% ya simu za Samsung (S series) zinapata greenlinesHabari wakuu ..!
Msimu ujao wa sikukuu hizi za wakristu na waislamu hasa pasaka, wauzaji na maduka mengi hasa ya simu huwa yanatoa offer kwa bidhaa zao.
Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye hizo offer ila nimefatilia mara kadhaa kwenye mitandao na maoni ya watu wanasema hayo maduka mengi yana hizi simu used from dubai na zina shida ukitumia miezi kadhaa tu inaanza kuleta mistari kwenye kioo bila sababu yoyote.
Sasa kila nikifikiria hivo hadi nakata tamaa na kujisikia vibaya kabisa, nifanyeje wakuu
Naombeni muongozo kwa wajuvi wa haya masuala
NB: bajeti yangu haizidi 600K Tshs.
Reuben Challe
Mwl.RCT
Nahisi hilo suala la mistari ni kwa Samsung phones pekee.Actually suala la mistari ya kijani ni common kwa simu kama S22 Ultra lakini linaweza kumkumba mtu yoyote aidha unatumia used au mpya, simu inaweza kuleta mistari. About 5% to 10% ya simu za Samsung (S series) zinapata greenlines
So inategemea na simu utakayopata ila siwezi kukupa guarantee kuwa itapata au haitapata mistari
Pia sijawahi kutumia simu used, juzijuzi hapa waliniibia simu nikanunua hii Pixel 7A ambayo ni used. So ni mara ya kwanza kutumia simu used, hii yangu ipo vizuri tu, ila siwezi kujua how majority of used phones act
Maybe tumuulize Chief-Mkwawa
Hata simu za makampuni mengine zinapata mistari lakini Samsung ndio zinaonekana kwa wingi kwa sababu wanatengeneza simu nyingiNahisi hilo suala la mistari ni kwa Samsung phones pekee.
Na napenda kumiliki Samsung kuliko simu nyingine zozote, huko kwenye pixels stimu zinanikata kabisa
Duh! Je suluhisho la haya yote ni nini?Hata simu za makampuni mengine zinapata mistari lakini Samsung ndio zinaonekana kwa wingi kwa sababu wanatengeneza simu nyingi
Kuna model kama Sony Xperia 5 II, 5 III na 5 IV nazo zinapata sana mistari. Pamoja na hizo Samsung S21 series, S22 series, hadi baadhi ya S24 series, baadhi ya One Plus pia. Inakuwa kama unabeti, unapaswa kubahatisha ambayo haitakuletea mistari mbeleni
Kwa watu wengi wanaonunua simu mpya wakipata green lines Samsung huwa wanawabadilishia kioo bure, as long as they have a warrantyDuh! Je suluhisho la haya yote ni nini?
Sijaona ukiitaja S23 Ultra
Hata simu za makampuni mengine zinapata mistari lakini Samsung ndio zinaonekana kwa wingi kwa sababu wanatengeneza simu nyingi
Kuna model kama Sony Xperia 5 II, 5 III na 5 IV nazo zinapata sana mistari. Pamoja na hizo Samsung S21 series, S22 series, hadi baadhi ya S24 series, baadhi ya One Plus pia. Inakuwa kama unabeti, unapaswa kubahatisha ambayo haitakuletea mistari mbeleni
Ni Samsung na inapokea updates hadi sasa.Duh ni matatizo yale yale ninayoyasemea.
Nafikiri labda aliuziwa simu fake
Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye hizo offer ila nimefatilia mara kadhaa kwenye mitandao na maoni ya watu wanasema hayo maduka mengi yana hizi simu used from dubai na zina shida ukitumia miezi kadhaa tu inaanza kuleta mistari kwenye kioo bila sababu yoyo
Jiongeze ununue mpyaDuh! Je suluhisho la haya yote ni nini?
Sijaona ukiitaja S23 Ultra
Kwanza kabisa, Samsung simu zao ni nzuri kuliko Pixel always especially tukiongelea kwenye chipset ambayo ndio kitu cha muhimu sana kwenye simu. Samsung ni kampuni ambayo imefocus sana kwenye simu, plus wanatumia Snapdragon processors ambazo ni powerful kuliko Google Tensor, Galaxy AI ipo vizur, Goodlock, Samsung Dex, customization & features, so of course simu zao ni nzuri kuliko PixelKiongozi, Unauhakika na mistari kwenye Flagship ya Samsung S series ?
Kwa miaka mingi Samsung Note na S series ndio moja ya simu bora kabisa Duniani ; huwezi kulinganisha hata kwa karibu na simu za pixel. Pixel ni kwa wanaotaka Camera ila kama unataka simu, nenda na Samsung na ukifika bei ya S series umemaliza kila kitu kwani unapata Simu & Camera...
Kuangushwa hata iPhone zinaangushwa sana lakini hazina shida kubwa ya green lines kama Samsung S series ukizingatia iPhone ndio wanauza flagship nyingi kuliko SamsungMistari kwenye kioo kwa kiasi kikubwa hutokana na kuanguka/kugongwa gongwa kwa simu......
Kwa hiyo tatizo sio simu, tatizo ni utunzaji
Lakini nasikia zinapokea hadi updates mpya za Samsung kabisaHakuna simu used from Dubai, huko Dubai hakuna kiwanda cha simu.
Ni samsung fake kutoka china kwa kuwa zina ubora hafifu wanazipachika jina la Used ili ikikufia usilalamime sana
Mkuu, what's your take?Kuangushwa hata iPhone zinaangushwa sana lakini hazina shida kubwa ya green lines kama Samsung S series ukizingatia iPhone ndio wanauza flagship nyingi kuliko Samsung
Actually kuangusha simu mara nyingi ni moja ya sababu zinazopelekea green lines lakini kwa Samsung S series sababu ni more than just that.
Simu nyingi zinaangushwa lakini kuna certain models zinapata sana green lines kuliko nyingine, why?
Mfano Sony Xperia 5 II, III na IV zinapata sana green lines lakini Sony Xperia 1 II, III na IV green lines ni very rare. Je watumiaji wa Xperia 1 series wanatunza sana simu zao kuliko wa 5 series? Hapana
View attachment 3549261