Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye hizo offer ila nimefatilia mara kadhaa kwenye mitandao na maoni ya watu wanasema hayo maduka mengi yana hizi simu used from dubai na zina shida ukitumia miezi kadhaa tu inaanza kuleta mistari kwenye kioo bila sababu yoyo
JichanganyeLakini nasikia zinapokea hadi updates mpya za Samsung kabisa
Mimi mbona simu yangu ya Samsung nilinunua Dubai used huu mwaka wa 3 haijawahi kunisumbua hadi leo na nina mpango wa kununua nyingine hii naiweka pembeni kwa ajili ya emergency tu.Habari wakuu ..!
Msimu ujao wa sikukuu hizi za wakristu na waislamu hasa pasaka, wauzaji na maduka mengi hasa ya simu huwa yanatoa offer kwa bidhaa zao.
Nilikuwa nina mpango wa kuvuta Samsung Galaxy S22 Ultra kwenye hizo offer ila nimefatilia mara kadhaa kwenye mitandao na maoni ya watu wanasema hayo maduka mengi yana hizi simu used from dubai na zina shida ukitumia miezi kadhaa tu inaanza kuleta mistari kwenye kioo bila sababu yoyote.
Sasa kila nikifikiria hivo hadi nakata tamaa na kujisikia vibaya kabisa, nifanyeje wakuu
Naombeni muongozo kwa wajuvi wa haya masuala
NB: bajeti yangu haizidi 600K Tshs.
Reuben Challe
Mwl.RCT
Uliipataje mkuu?Mimi mbona simu yangu ya Samsung nilinunua Dubai used huu mwaka wa 3 haijawahi kunisumbua hadi leo na nina mpango wa kununua nyingine hii naiweka pembeni kwa ajili ya emergency tu.
Hapo labda inategemea na uaminifu wa muuzaji,wauzaji wawili tofauti wanaweza wakaenda kununua simu Dubai mmoja akachukua mzigo wenye quality na mwingine akachukua mzigo mbovu kwa bei cheap sana ili apige faida ndefu yaani inakuwa imetegeshwa tu ukishanunua baada ya miezi 3 inabuma.
Ni simu gani piaMimi mbona simu yangu ya Samsung nilinunua Dubai used huu mwaka wa 3 haijawahi kunisumbua hadi leo na nina mpango wa kununua nyingine hii naiweka pembeni kwa ajili ya emergency tu.
Hapo labda inategemea na uaminifu wa muuzaji,wauzaji wawili tofauti wanaweza wakaenda kununua simu Dubai mmoja akachukua mzigo wenye quality na mwingine akachukua mzigo mbovu kwa bei cheap sana ili apige faida ndefu yaani inakuwa imetegeshwa tu ukishanunua baada ya miezi 3 inabuma.
Naam, hata mimi nimeona kwa usalama zaidi ni kununua simu mpya tu japo bei zake zinakuwa zimeondoka sanaHizo Samsung mtakua mnanunua zenye matatizo tayari mimi mbona natumia hizo S series wala sipati hayo matatizo ila simu zangu nanunua mpya kwa kaburu...
mimi nadhani mnapopata matatizo ni vizuri kununua simu mpya sio hizi zilizokwisha kutengenezwa harafu mnakuja na majibu ya moja kwa moja..
Naishi Dubai.Uliipataje mkuu?
Nunua simu mpya dukani kwenye maduka ya samsung sio hizo used utajaza review balaa wakati wenye hizo simu wanatumia bila shida..Naam, hata mimi nimeona kwa usalama zaidi ni kununua simu mpya tu japo bei zake zinakuwa zimeondoka sana
Tumia hii websiteNaam, hata mimi nimeona kwa usalama zaidi ni kununua simu mpya tu japo bei zake zinakuwa zimeondoka sana
mnunue note series sijaona hiyo changamoto
labda ukiweka protector inakuw nzito kutachi
Sasa kiongozi note series si simu za zamanimnunue note series sijaona hiyo changamoto
labda ukiweka protector inakuw nzito kutachi
Nafikiri ningepata agent wa uhakika akaninunulia full display huko Dubai ingekuwa less expensive kuliko hapa bongoTumia hii website
Avechi Kenya | Online shop for smartphones and electronics
Avechi Kenya: Nairobi's trusted shop for phones & electronics - Xiaomi, OnePlus, Oppo, Tecno, Infinix, Realme. Genuine warranty, fast delivery.avechi.co.ke
Bei yake ipo kwa hela za Kenya so zidisha kwa 20 kupata hela za Tanzania.
Ukiona bei za refurb za Dubai na humo hazitofautiani Sana vyema nunua mpya, yenye warranty ya Africa, itakuondolea stress zisizo na lazima, hata ukibanja kioo utachajiwa Tu hela ndogo ya matengenezo.
Actually sina connection na agent yoyote yuleNafikiri ningepata agent wa uhakika akaninunulia full display huko Dubai ingekuwa less expensive kuliko hapa bongo
Reuben Challe
Kuna huyu memba mbu wa dengue nafikiri anaweza kuwa agent wa uhakika.Actually sina connection na agent yoyote yule