Matatizo ya Samsung Galaxy S Series used hasa za kutoka Dubai

S23 ultra nyingi hazipati green lines sababu kioo chake sio curved kama s21 ultra kushuka chini.

So ni toleo kuanzia s23 ultra kupanda juu kesi za green lines zimepungua sana.
 
S23 ultra nyingi hazipati green lines sababu kioo chake sio curved kama s21 ultra kushuka chini.

So ni toleo kuanzia s23 ultra kupanda juu kesi za green lines zimepungua sana.
Hazipati sana greenlines ukifananisha na Samsung zilizopita
Ila ukifananisha na simu za makampuni mengine, S23 series zinapata greenlines
 
Mkuu kuna shop ya Samsung nilinunua hii S24 ultra yangu hapa Nairobi wako chini kuliko Avechi. Kama kuna MTU atahitaji anicheki nimsaidie kununua na kutuma kwa ujira ndogo.
 
Mkuu kuna shop ya Samsung nilinunua hii S24 ultra yangu hapa Nairobi wako chini kuliko Avechi. Kama kuna MTU atahitaji anicheki nimsaidie kununua na kutuma kwa ujira ndogo.
Ulinunua kwa bei gani
 
Wewe jamaa bhana yaani iphone zinauzwa nyingi kuliko Samsung mnachukulia takwimu za Nchi zilizoendelea mnazileta bongo Samsung simu zake nyingi bei nafuu zinauzwa nyingi Nchi masikini kuliko Iphone.
 
Wewe jamaa bhana yaani iphone zinauzwa nyingi kuliko Samsung mnachukulia takwimu za Nchi zilizoendelea mnazileta bongo Samsung simu zake nyingi bei nafuu zinauzwa nyingi Nchi masikini kuliko Iphone.
Mimi naongelea worldwide kwa sababu shida ya green lines kwenye baadhi ya models za Samsung ni worldwide. Usije ukadhani green lines zinawakuta Watanzania pekee
Halafu models ambazo zilikuwa zinapata sana green lines ni S series ambazo ni flagship na ni equivalent ya iPhones, sio hizo A series ambazo ndio zinauzwa sana Africa na nchi masikini
Na takwimu za kidunia, sio nchi zilizoendelea au nchi masikini, yani dunia nzima, worldwide kiujumla flagship za iPhone zinauzwa kuliko za Samsung
Na tukiongelea green lines tunaongelea flagship za Samsung za S23 kushuka chini, hatuongelei A series zinazouzwa kwa wingi nchi masikini. Green lines hazijawahi kuwa major problem kwenye Samsung za bei rahisi
 
Inawezekana kwa baadhi ya Nchi zinaingia simu ambazo hazina viwango vyao mimi natumia Samsung S series sijui hilo tatizo toka 10+ mpaka sasa tupo kwenye S 24 na pia hii tu nayotumia inakaa sana na charge na muda wote ipo kazini ntahamia kwenye S 26 soon kwa sababu wao wanakaa na chaji masaa zaidi ya 24 zipo hapa..
Nilikua natumia Iphone sema niliachana nao kwa sababu ishu ndogo tu kununua Online App inahitaji mambo mengi ila ni simu bora sana sana..
 
Brand new ,na nikapata screen warranty ya mwaka mmoja
Mkuu huko sijui kitu sijawahi kununua simu Tanzania maana kwanza bei zao sio rafiki hapa simu unauziwa ikiwa na warranty ya muda mrefu simu yenyewe sio kioo tu ila ndio bei zao zimesimama kidogo..
 
Mkuu ukiambiwa Samsung S20, S21, S22 etc zilikuwa na shida ya green lines haimaanishi kila S20 inapata green lines
Halafu mbona mi naona ni simple sana kuelewa. Kama ulitumia S10 na haikupata green lines, tatizo liko wapi. Hakuna anayesema kila simu ya S series inapata green lines, ni kwamba watumiaji wengi wa Samsung walioathirika na green lines walikuwa ni watumiaji wa hizo models. Sio eti ilikuwa inatokea kwenye kila handset
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…