Mateka aisifu Hamas

Acha kuandika porojo angekua binti angeshabakwa. Magaidi sio watu
 
Muisrael wa mweusi Kibosho anatoa hotuba yake baada ya haya mauji ya Wakirsto.
 
Attachments

  • 7145e3c0-0ee4-434a-9e32-626d8d52e548.mov
    6.2 MB
hiyo inafutaj mauaji yao waliyoyafanya ? unahisi wmagemtesaj kwa kipigo hiki , hao mateka ndo walikuwa hauweni yao lzm wawakirimu , wangekuwa wema wasingeua watu kule disco vumbi
Huu muda unaotumia humu JF kutetea mauji ya Israel ungerudi shule za kata ukajifundishe kuandika.
 
Kwa hiyo hamas, alshabab, isis sio makundi ya kiislam, sasa mbona yanapofanya matukio ya kigaidi mnawaunga mkono na kuwasifu kwa kuua makafir
Uislam hauna makundi Uislam ni dini moja, Ukirsto ni Ushoga? Wachungaji,Maskofu wameruhusu ndoa za jinsia moja Makanisani vipi na wewe ni mmoja wao? Siyo Wakisto wote wanataka haya kwa hiyo usichanganye mambo.
 
Kwa hiyo hamas, alshabab, isis sio makundi ya kiislam, sasa mbona yanapofanya matukio ya kigaidi mnawaunga mkono na kuwasifu kwa kuua makafir
Hata ANC waliitwa kikundi cha kigaidi, Tanzania tukawahifadhi kwa wingi sana, usisahau hilo.

Hao Wapalestina PLO waliitwa magaidi Taanzania tukawahifadhi na ndiyo nchi ya kwanza Afrika kuwatambua. Usisahau na hilo pia.

Gaidi kwako, mpigania uhuru kwa mwenzako.
 
Uislam hauna makundi Uislam ni dini moja, Ukirsto ni Ushoga? Wachungaji,Maskofu wameruhusu ndoa za jinsia moja Makanisani vipi na wewe ni mmoja wao? Siyo Wakisto wote wanataka haya kwa hiyo usichanganye mambo.
Sasa mbona mnawasifu wanapofanya matukio ya kigaidi.
Mfano juzi hapa sheikh ponda ameisifu hamas kwa ukatili uliofanyika hapo Israeli
 
Alshabab wanaua wasomali ambao ni waislam, isis, alqaeda wanapigania uhuru gani?
Kule Pakistan waislam wa taleban wanalipua misikiti na kuuwa mamia ya waislam wenzao. Hao wanapigania uhuru gani?
 
Sasa mbona mnawasifu wanapofanya matukio ya kigaidi.
Mfano juzi hapa sheikh ponda ameisifu hamas kwa ukatili uliofanyika hapo Israeli
Inawezakana una umri mdogo huu mgogoro wa Mashariki ya Kati umeanza kufuatilia hivi karibuni.

Hamas ni kundi la ukombozi linaloendesha vita kulinda ardhi yake.

UN juzi wamesema kweli mashambili yq Hamas hajaja bahati mbaya.

Weww unamuulia mtu familia yake nzima na unakaa kwa mabavu kwenye ardhi yake kisha unataka akae kimya?
 
Sasa kwa yale mauaji ya kikatili, ubakaji, pamoja na kuteka wanawake na watoto hamas ina tofauti gani na alshabab, isis na makundi mengine ya kigaidi?!
Pia kiongozi wa kidini ambae anatakiwa akemee ndio kwanza anasifia.
Halafu bibi faiza foxx anataka kutuaminisha kwamba uislam ni mwema sana
 
Magaidi ya kibiti, Cabo delgato msumbiji, ADF huko congo, alshabab, isis na wao pia Israeli aliua ndugu zao?!
 
Attachments

  • F9Ojc4VagAEb5Ef.png
    147.2 KB · Views: 2
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…