Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Uislam huu unaofuga makundi ya kigaidi kama alshabaab, alqaeda, isis, hamas, islamic jihad nk. Au unazungumzia uislam upi?Uislam mwema sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uislam huu unaofuga makundi ya kigaidi kama alshabaab, alqaeda, isis, hamas, islamic jihad nk. Au unazungumzia uislam upi?Uislam mwema sana.
Nikuamini wewe au nimuamini Hillary Clinton?Uislam huu unaofuga makundi ya kigaidi kama alshabaab, alqaeda, isis, hamas, islamic jihad nk. Au unazungumzia uislam upi?
Acha kuandika porojo angekua binti angeshabakwa. Magaidi sio watuMwanamke mzee Muisrael aliyeachiliwa huru na wapiganaji wa Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amesema alikirimiwa na kutendewa wema katika muda wa wiki mbili alipokuwa ameshikiliwa mateka na kundi hilo la wanamapambano wa Palestina.
Akizungumza na waandishi wa habari mapema leo, Yocheved Lifshitz, ajuza wa miaka 85, amesema Hamas ilimpatia daktari wa kushughulikia afya yake na kufanya kila njia kuhakikisha anapata dawa zake.
Ameongeza kuwa wapiganaji wa Hamas walishughulikia pia mahitaji yake. Bi Lifshitz amesema: "tulikula mkate, jibini nyeupe na matango, kama wao."
Bi Kizee huyo Muisrael ameendelea kusimulia alivyokirimiwa na wanamuqawama wa Palestina akisema: "walituambia wanaiamini Qur'ani na kwa hivyo hawatatudhuru".
Alipoulizwa kwa nini alipeana mkono na mmoja wa wanachama wa Hamas wakati wa kuachiliwa kwake, Bi Lifshitz alisema kwa sababu "walliamiliana nasi kwa wema na walishughulikia mahitaji yetu yote."
Jumatatu usiku, tawi la kijeshi la Hamas la Brigedi za Al Qassam lilitangaza kuwa limewaachilia huru mateka wawili wa Israel - Yocheved Lifshitz na Nurit Cooper mwenye umri wa 79 - kwa "sababu za ubinadamu."
Muisrael wa mweusi Kibosho anatoa hotuba yake baada ya haya mauji ya Wakirsto.Kama Kuna mkiristo anauawa maskini anakuwa ameuawa kwa bahati mbaya. Wao hawana Agenda za kiislam za kupambana na kuwaua wayahudi. Wenye chuki hiyo ni HAMAS. na kwa sababu agenda hiyo ni pana wakimalizana na Wayahudi watakuja kwa Wakiristo, wahindu na hata wachina hawako salama
View attachment 2791806
Huu muda unaotumia humu JF kutetea mauji ya Israel ungerudi shule za kata ukajifundishe kuandika.hiyo inafutaj mauaji yao waliyoyafanya ? unahisi wmagemtesaj kwa kipigo hiki , hao mateka ndo walikuwa hauweni yao lzm wawakirimu , wangekuwa wema wasingeua watu kule disco vumbi
Uislam hauna makundi Uislam ni dini moja, Ukirsto ni Ushoga? Wachungaji,Maskofu wameruhusu ndoa za jinsia moja Makanisani vipi na wewe ni mmoja wao? Siyo Wakisto wote wanataka haya kwa hiyo usichanganye mambo.Kwa hiyo hamas, alshabab, isis sio makundi ya kiislam, sasa mbona yanapofanya matukio ya kigaidi mnawaunga mkono na kuwasifu kwa kuua makafir
Hata ANC waliitwa kikundi cha kigaidi, Tanzania tukawahifadhi kwa wingi sana, usisahau hilo.Kwa hiyo hamas, alshabab, isis sio makundi ya kiislam, sasa mbona yanapofanya matukio ya kigaidi mnawaunga mkono na kuwasifu kwa kuua makafir
Sasa mbona mnawasifu wanapofanya matukio ya kigaidi.Uislam hauna makundi Uislam ni dini moja, Ukirsto ni Ushoga? Wachungaji,Maskofu wameruhusu ndoa za jinsia moja Makanisani vipi na wewe ni mmoja wao? Siyo Wakisto wote wanataka haya kwa hiyo usichanganye mambo.
Alshabab wanaua wasomali ambao ni waislam, isis, alqaeda wanapigania uhuru gani?Hata ANC waliitwa kikundi cha kigaidi, Tanzania tukawahifadhi kwa wingi sana, usisahau hilo.
Hao Wapalestina PLO waliitwa magaidi Taanzania tukawahifadhi na ndiyo nchi ya kwanza Afrika kuwatambua. Usisahau na hilo pia.
Gaidi kwako, mpigania uhuru kwa mwenzako.
Inawezakana una umri mdogo huu mgogoro wa Mashariki ya Kati umeanza kufuatilia hivi karibuni.Sasa mbona mnawasifu wanapofanya matukio ya kigaidi.
Mfano juzi hapa sheikh ponda ameisifu hamas kwa ukatili uliofanyika hapo Israeli
Hebu msome huyu mwenzio hapo chini jinsi alivyo na hasira, hasira hizo za kurithiHata ANC waliitwa kikundi cha kigaidi, Tanzania tukawahifadhi kwa wingi sana, usisahau hilo.
Hao Wapalestina PLO waliitwa magaidi Taanzania tukawahifadhi na ndiyo nchi ya kwanza Afrika kuwatambua. Usisahau na hilo pia.
Gaidi kwako, mpigania uhuru kwa mwenzako.
Hebu msome huyu mwenzio hapo chini jinsi alivyo na hasira, hasira hizo za kurithi
View: https://x.com/LizaRosen0000/status/1717439030244065599?s=20
Sasa kwa yale mauaji ya kikatili, ubakaji, pamoja na kuteka wanawake na watoto hamas ina tofauti gani na alshabab, isis na makundi mengine ya kigaidi?!Inawezakana una umri mdogo huu mgogoro wa Mashariki ya Kati umeanza kufuatilia hivi karibuni.
Hamas ni kundi la ukombozi linaloendesha vita kulinda ardhi yake.
UN juzi wamesema kweli mashambili yq Hamas hajaja bahati mbaya.
Weww unamuulia mtu familia yake nzima na unakaa kwa mabavu kwenye ardhi yake kisha unataka akae kimya?
Hebu msome huyu mwenzio hapo chini jinsi alivyo na hasira, hasira hizo za kurithi
View: https://x.com/LizaRosen0000/status/1717439030244065599?s=20
Magaidi ya kibiti, Cabo delgato msumbiji, ADF huko congo, alshabab, isis na wao pia Israeli aliua ndugu zao?!Yaaani mtu uwauwe wazazi wake watoto ndugu zake halafu asiwe na hasira? Jana kuna Mwandishi moja wa Al Jazeerq mke wake na watoto wke wawili wameiliwa na mabomu ya Israel mtu kqmq huyu kwa nini asiwe na hasirq za kurithi na akipata nafasi analipiza kisasi.
Yaaani mtu uwauwe wazazi wake watoto ndugu zake halafu asiwe na hasira? Jana kuna Mwandishi moja wa Al Jazeerq mke wake na watoto wke wawili wameiliwa na mabomu ya Israel mtu kqmq huyu kwa nini asiwe na hasirq za kurithi na akipata nafasi analipiza kisasi.
Jamani SOMENI na kusikiliza hiyo twitt huyo Mpalestina, baadae ya kukataliwa ukimbizi na Waarabu wenzao sasa ndiyo anatoa Siri kuwa wapalestina wote Wana chimbuko kutoka hizo nchi za Kiarabu.
View: https://x.com/LizaRosen0000/status/1717170414642716810?s=20