zerominus10
JF-Expert Member
- Aug 25, 2022
- 8,142
- 13,721
Bado haujasema sababu kuna sababu kuu na sababu ndogo ndogo wewe unaeleza sababu ndogo nataka uelezee sababu kuu, unajua ni sawa na mto na vijito kila mto una vijito sasa wewe baada uelezee mto unaelezea kijito nataka sababu kuu, jambo lolote linapotokea halitokei hivi hivi sawa ametoka huko kwenye ulimwengu wa Siri (tuseme ni ulimwengu wa Giza) akaja kwenye ulimwengu huu tunaoishi (tuseme ni ulimwengu wa Nuru)Sababu si-nimesha kueleza kuwa jini Anakuwa amekupenda Anataka umuoe unataka sababu ipi tena !?
Ukiona mtu ana fuatwa na jini mahaba sababu kuu huwa ni huyo Jini kutaka mahusiano na Mtu huyo Nasio kingine , Ndio maana anaitwa jini mahaba
Sasa elezea sababu kuu inayomfanya atoke kwenye ulimwengu wake wa Siri (Gizani) aje kwenye ulimwengu huu na kumuingilia mtu kwenye ulimwengu huu wakati yeye ana ulimwengu wake, sababu kuu ni nini?
Acha kusema sijui amempenda au amekupenda anataka umuoe na maelezo ya kusema amekupenda anataka umuoe sababu kuu ni ipi amekupenda kivipi na kwa lipi ni ipi sababu kuu?
Wewe mfano mzuri ambae mkasa umekupata alipouliza sababu kuu ya huyo kiumbe kukupenda na kutaka umuoe uliezwa sababu kuu ni ipi?
Kwanini asiwapende viumbe wengine akupende wewe? Ni ipi sababu kuu ya kukupenda wewe na kutaka kuishi na wewe na wakati huo yeye huko kwenye ulimwengu wake ana viumbe km yeye kwanini asiwapende hao viumbe walio kwenye huo ulimwengu anapotoka?