Mateso ninayopitia hayabebeki wala kuzoeleka

Uko sahihi. Huenda kuna tatizo ktk ulimwengu wa roho. Fanya sala kumuomba Mwenyenzi Mungu
 
Duh kwanza broh naungana nawe katika kusikitika juu ya hili tatzo...ila kaka jarbu kwenda hospital mambo haya muda mwingne huwezi kusolve kimtaa mtaa
 
Mkuu hauna tatizo Ni swala la mda tu, wenzako tumekua hivo, mm nimejipiga mabao kwenye chumba Cha mtihani Hadi nikiwa chuo kikuu, tatizo Ni Kama haiwez kurudia tendo lkn Kama unarudia na unaenda kwa mda mfupi bado sio shida, mda ukifika utakaa sawa.

Unajua tatizo linalotupata Sana vijana waaminifu Ni kuwa tunakua na nyege sana, mm nilikua Hadi naenda kupunguza nyege chooni kwanza nikiwa na demu maana nilikua namwaga hata kabla ya mechi. Hii kitu itapotea tu, kikubwa niombee tu na usiumize kichwa iko sawa Sana.
 
Pole sana sana mkuu, nafeel hii hali yako.

Ni ngumu sana mtu kuimagine yale maumivu kihisia unayopitia, na kweli story za vijiweni hapa jf(kula tunda kimasihara n.k) nadhani zinakuumiza sana japo nyingi ni za uongo.

Huenda utapona mkuu, fanya bidii kwa unayoambiwa. Huenda pia labda unatarajia kupona mapema na labda unaacha unachoshauriwa na madaktari/washaur kwa kutoona matokeo mapema.

Komaa mkuu lakini usisahau kutafuta pesa ndgu yangu, kama itashindikana kabisa basi tafuta kitu kingine kitakachokupa furaha japo ni ngumu kuachana na ngono ila unaweza tu kupiga siku mojamoja tu.
 
Pole sana ndugu, haya matatizo tunayo wengi sema nini hatuyaweki wazi, kuna kina mimi ambao comfdence ziko chini kiasi kinachopelekea performance kwenye tendo la ndoa kushuka. yalinikuta na najua maumivu unayopitia ndugu yangu hii hali inatesa sana sio siri.

Ushauri jaribu kutongoza na kusex na wanawake ambao sio visu sana yaani chagua wale ambao hawavutii kabisa itakusaidia kujiamini ukishafanikiwa hapo mbinu za kujizuia usifike mshindo mapema zitachukua nafasi, narudia tena chagua wanawake ambao akili zako zinasema hii chapati hata ikifanyaje poa tu.

NB. yalinikuta mimi kwa mke wa ndoa nikawa na shida ya kusimamisha saa zingine sisimamishi kabisa wakati mwingine show haimalizi dakika kumi nikajaa hofu ya kufa mtu na mambo yakazidi kuharibika, nikakaa chini nikasema huu ujinga umetokea wapi sikujiuliza mara mbili nikachepuka na kupiga show matata sana sikuamini,nikarudi kwa mke hali ile ile mmh, nikabadili mwanamke nikaperform kwa kiwango cha kutisha nikagundua kimbe shida iko hapa kwa mwenzangu namwogopa na ananitia presha ndo nashughulikia kwa sasa na matokeo angalau yanaanza kuonekana.
 
Hofu imekutawala. Anza kwanza na hili halafu kisha fanya mazoezi sana. Yaani fanya mazoezi makali mfano kimbia km15 kila siku. Kisha tafuta mwanamke mwingine kabisa na sio ulie nae kwenye mahusiano ulale nae baada ya kuhakiki magonjwa na pia ujue siku zake kuepuka mimba.

Utapona kabisa tatizo lako.
 
Mkuu kwanza pole sana ila nikutoe wasiwasi kwakuwa baada ya kukojoa huwa una uwezo wa kurudia gemu basi tatizo si kubwa.

Kwanza mi si Daktari ila natumia uzoefu kukushauri.

Umekiri Huna hofu na wanawake na pia huioni mbususu kama kitu adhimu. Hii ni nzuri sana na inatuacha na dhana mbili tu kueleza tatizo lako.

Moja, Ngozi ya Uume wako ni laini sana, ina’sense’ kila athari ya msuguano.
Mbili, Ubongo wako unapokea taarifa za utamu ulozidi.
AU ZOTE KWA PAMOJA.

Hapo tatizo ni Utamu kaka😂 yaani unausikia utamu wenyewe kabisa sababu ngozi ya uume bado laini haijaguswa kwa kuchukua sheria mkononi wala haijasugua sana kuta za uke, chochote kinachohusika na utamu pale Uumeni kinafanya kazi kwa ubora wa hali ya juu sana.

Cha kushauri,

1. Piga Puli-tiba.
Yes, puli lina madhara, na ukweli ni kwamba ‘an excess of anything is harmful’. Sukari tamu ila ukiila sana utaumwa, vivyo hivyo kwa puli... mara moja moja ni sawa. Na hii itasaidia walau kuikomaza kidogo ngozi ya uume ili ishindwe kuwa ‘sensitive’ sana kiasi isikie kila utamu.... zoezi hili likifanikiwa mzee utaanza chelewa kojoa.

Lakini Puli hili mkuu usipige kwa kutazama Video zetu zile, laa, lipige kwa ‘imagination’ tu. Maana ukitumia zile video utasababisha matatizo mengine.

2. Badili ‘psychology’
Hapa mkuu wakati wa kuiteketeza amri ya sita jitahidi mawazo yako uyaweke mbali na mchezo. Yani upo juu ya kifua ila kichwani waza watu wanaokudai au unaowadai, waza mpira, waza kazi au biashara au chochote tofauti na ‘moment’ ile ya maraha ulokuwa nayo.
Hii itasaidia ku-distract ubongo kutoka kwenye kuchakata taarifa za mautamu zinazopokewa toka uumeni hivyo kuufanya uchelewe kutuma amri ya kumwaga.

Konfidensi Konfidensi Konfidensi... mbali na tatizo lako hii silaha muhimu usiiache. Namna nzuri ya kuitumia ni kusex na msichana unaemuamini na muelewa maana upo ktk kipindi cha mpito.

All the best mkuu.
 
Nje ya mada hujasoma bwiru boys kweli wewe??

Puli tumepiga sana kule mombassa
 
Nenda hospitali chief. Uongee na a certified professional. Huku watakupanikisha tu
 
Mkuuu ipo hivi ww ni mzima na huna tatizo ndo maana unaweza bambia dem ukadindisha tatizo lako ukiona dem presha juuu hasa kitandani maone wa kawaida na unapokutana,nae,usinywe pombe ww ni mzima kapige show leo
 
I support you on this
 
Asante sana ndugu yangu kwa kuyahisi maumvi yangu. Bahati mbaya huo mtulatula siufahamu. Pengine naufahamu kwa jina jingine na nitashukuru ukinifafanulia zaidi au hata picha.
Mutulatula ni mmea wenye matunda madogo ya mviringo yamekuwa yakiiva yamekuwa na rangi ya njano, unapatikana kwenye vichaka ambavyo Vina udongo wa mfinyanzi,hata maeneo ya vichaka pale magufuli Stend upoo
 
Pole sana Kaka,niliwahi kupata tatizo linalofanana na hili,na Mimi nimekulia katika situation Kama ya kwako.... Yaan nilichelewa kuingia kwenye mahusiano.

Baada ya kuoa tu,mkuu uume ulishindwa kusimamaa kwa miez mitatu lkn badae nilisolve

Now, Niko vizr
 
Poleee Sanaa mwambaaaa je bado una hyo Hari? Ilaa najua hofu hyo kitu inasumbua Sanaa wanaume wengi naukisha get tu hyo mala yakwanza bas ndo unapotea kbs . Stress hzo ombaaa yasikukute inaumaaa sanaaaa Ila tiba nimwanamke yaan mpenzi wako ata usiogope mchane tu ulivyo. Naongeaa iv ishawahig nitokeamimi
 
Kbsaaa %100 tupo wengi mungu atusaidie aisee.
 
[emoji817][emoji817][emoji817]
 
Fact
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…