Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

Well said, tena ukimpa mimba mdada wa kiarabu au kihindi wanatoa mimba au katoto kakizaliwa wanakaua kakiwa na siku moja, So sad!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rais Magufuli inafaa awatumbu hawa mabalozi wa Oman na Saud Arabia. Rais akiingila Kati utasikia unawaonea waislam. Kuna watu mazwazwa hapa dunian ni waislam wenye rangi nyeusi .
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wazanzibar Wana nini mpaka watanganyika wawapapatikie. Hakuna ujinga kama huo. Wazanzibar wanakitu gani mpaka watanganyika wawapapatikie. Hakuna kitu kama hicho
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pakistan hao ndio waislam pure. Basi pia Pakistan ni Islamic state
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona unachanganya mambo? UISLAM na UARABU ni vitu viwili tofauti kuna Waarabu ni Wakristo na Kuna Waislamu wasio waarabu( ambao ni wengi zaid)
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Msenge wewe Marekani hautegemei mafuta ya mwarabu. Marekani ndio nchi inayoongoza kwa kuwa na visima vingi kuliko nchi yoyote duniani. Marekani inaongoza Kwa uzalishaji wa mafuta duniani. Na nchi yenye mafuta Mengi sio uarabuni ni Venezuela ndugu yangu. Mafuta yapo distributed nchi mbalimbali Duniani. Uwe unatafuta data ndio uongee. Ni kwamba mafuta ya Saudi Arabia na nchi nyingi za kiarabu ni joint venture Kati ya Marekani na waarabu. Saudi Aramco campuni kubwa ya Mafuta Saudi Arabia inaitwa Saud Arabia American company. Ni kwamba Marekani ndio anatumia mafuta ya Uarabuni kuongeza utajiri wake . Wale wabishi anawavamia au anawaweka vikwazo . Marekani akishawawekea vikwazo huwezi uza mafuta pepote pale dunia. Mafuta huuzwa kwa mfumo wa Petrodollar. Venezuela Hali imekuwa mbaya kwasababu ya vikwazo manayake hataweza kuuza mafuta mahali popote duniani. Wale waarabu ni vibaraka wa Marekani. Achaga ushamba. Unajua kifo cha Gaddafi kilisababishwa kuchallenge mfumo wa Petrodollar.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Biashara ya utumwa na uislam vina uhusiano itakuwa. Kwasababu umejaribu kutetea lakini hao mawakala ni waarabu pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Waarabu wakatili sana,wanastahili vipigo the same,watumiwe clip kama wanavyotufanyia.
Shwain kabisa hawa
 
suala la uelewa tu mkuu. Hizi kesi tumeshasikia mara kibao hawa watu kunyanyaswa huko Arabia na kama haitoshi kila siku nenda airport ndo utaelewa watu wanafurika huko kama nyugu na wengi wao ni hao Wazenji. Na nyongeza tu ni kuwa ukitaka ukosane na mzenji mtukane Mwarabu. Sasa watu kama hawa wanahitaji mental liberation. Ukweli ni kuwa wenzetu kule upande wa pili bado wanafikiri mwarabu ni mtu pekee anayeweza iendeleza Zenj na sio nguvu zao wenyewe.
 
Tujue kwanza huyo mmatumbi alifanya kosa gani, kama ni ushoga alitakiwa kukatwa shingo tena hadhani,
 
Hilo mjiulize nyinyi kwa nini hamuiachii???

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo ya kiCCM achaga kusema Watanganyika wote yaani muungano unafaida Kwa CCM sio watanganyika. Ungejua wale viongozi wa CCM Zanzibar wanategemea muungano ili waendelee kubaki madarakani sio watanganyika. Dr Shein bila muungano angekuwa Rais wa Zanzibar.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ishatoa onyo/tahadhari kwa wanao kwenda huko umangani?
Lkn watu hawakomi?
Wanazokwenda huko wanajitakia tu

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao nao wanafataga nini manchi ya kiarabu hayo.

Yaani jitu linakaa kabisa linafikiri eti mwarabu atakutoa kimaisha.

Mti wenye matunda.
 
Tumia akili,
1:Wengi walioko Oman ni waswahili,ambao wewe ukiwaona huku unawaita waarabu(ni damu mchanganyiko)ambao wengi ni watanzania,ukifika Oman utafikiri uko Tanzania,wengi ni wa Tanzania,na lugha zote za makabila ya Tanzania zinazungumzwa,kiswahili ndio kabisa,utafikiri ndio lugha ya taifa.Hao waswahili,ndio wanaochukuwa wafanyakazi wa nyumbani kutoka Afrika mashariki,na hawachukui wafanyakazi wa nyumbani wanaume.Na ukisema ni mfanyakazi wa kazi za nje(wanaume) pia sio kweli,kwasababu wao wenyewe wana matatizo ya ajira,kazi zinatakiwa zifanywe na wenyeji wa nchi hiyo.
Kuna mahali pameandikwa kuhusu Madawa ya kulevya hapa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona wameoana sana,Ukienda Oman,ni damu mchanganyiko,mpaka mawaziri wanatoka Tanzania,na kiswahili na lugha za makabila ya Tanzania,yanaongelewa huko,kama uko Tanzania.Hata kama hujafika huko Oman,nenda airport Dar,uone abiria wanaoshuka kwenye ndege,ni watanzania wa damu mchanganyiko.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sio kweli,kwanza hapa kwetu Tanzania hakuna "pure Arab",wote unaowaona ni damu mchanganyiko,machotara,ila sisi kwa kutojuwa tunawaita waarabu,ni waswahili tu.
Well said, tena ukimpa mimba mdada wa kiarabu au kihindi wanatoa mimba au katoto kakizaliwa wanakaua kakiwa na siku moja, So sad!.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ok nmekuelewa Ila yaweza kuwa hata ndugu zetu Wana viburi Sana. Umeenda kufanya kazi but unataka uamshwe asubuhi, ukumbushwe kufanya kazi na mambo kama hayo. Ishu za kubakwa ndio shida. Yote maisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maelezo mengi ambayo hayajibu swali, I wish ningekuwa nasahihisha mtihani hapa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…