Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

Si wazenji tu ndg ni kutoka pande zote za nchi hasa warangi soko lao kule ni kubwa kwa sababu wanatimba sana mzigo,kuna jamaa yangu ni wakala wa hiyo biashara kanithibitishia!
Hao wa Zanzibar wanapenda kujikomba kwa hao magaidi wacha waipate fresh

God first

East and west home is the best
 
Malizia usemi huu
Mkataa kwao ni ........

East and west home is the best
Mkuu hakuna anaekataa kwao, harakati tu za kutafuta maisha ndio zinawafanya watu watoke sehemu moja kwenda kwingine.
Huu unyama hauvumiliki kwa kweli, ila hio mijamaa nayo kama vile ni mifala tu hapo ipo miwili inashindwaje kumshikisha adabu huyo mvaa kanzu.

Maendeleo hayana chama
 
Kwa hiyo una justify hivi vitendo kwa sababu Blacks pia wanatofautianaga?

Una miss point hapo, bro.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekuelewa vizuri ndg yangu, Nimekuelewa ndg yangu lkn tuwe tunaangalia na nchi gani tunaenda bro twende kote lkn si middle east hasa cc wenye elimu ya hapa na pale!

East and west home is the best
 
wakimtumia mange hii video itaenda viral balaa, lazima ubalozi wajitokeze kupinga dadeki!!!
Daaah kumbe Mange ana nguvu hv??? Juzijuzi tu bbc imemuandika kwenye makala ya maandamano yaloshindikana Tanzania.

Nadhan huyu mdada kwenye syllabus zijazo awekwe vitabuni aisee, japo instagram wamegoma kumpa verified tick
 
Nimekuelewa vizuri ndg yangu,Nimekuelewa ndg yangu lkn tuwe tunaangalia na nchi gani tunaenda bro twende kote lkn si middle east hasa cc wenye elimu ya hapa na pale!

East and west home is the best
Mkuu hata middle east kuna fursa nyingi tu, tatizo ni kuangukia kwa boss wa aina gani.

Kuna watu wametoka huku wako huko lakini ukiwaeleza kuhusu haya mambo wataona kama vile unawasingizia wavaa kanzu.

Ni sawa tu na mtu ambae yupo kijijini analetewa mjini kuja kufanya kazi, wengine huangukia kwa mabosi wapole na wakarimu hivyo maisha kwao yanakua poa, ila kuna wale wanaoangukia kwa mabosi ambao ni makatili kama wanyama hapo ndipo majuto huanza.
Yote kwa yote mabalozi wetu katika nchi nyingi wanazopelekwa hua hawaendi kufanya kazi walizotumwa zaidi wao ni kula bata tu.

Maendeleo hayana chama
 
Write your reply...Kuna watu hapa wanaingiza Uzanzibar ...siku ukijua huyo aliefanyiwa unyama huo ni mtanganyika mwenzako utakuja hapa kuomba msamaha ...sawa hatukatai tunawapapatikia waarabu ujue pia Watanganyika wanawapapatikia Wazanzibari na mnatuona kama waungu wenu ....kumbuka dunia hii ya Sasa sio kama ile ya Nyerere ukiyajua ya Wazanzibari nasi tunayajua ya Watanganyika ...Inapokuja mada uijadili kwa fikra huru kama una chuki zako peleka sehemu stahiki ...
 
Tatizo watu wakiambiwa huko si salama Sana wao wabishiii Sana wanaona wametusua, ubishi ndo unawasumbua, na dawa ya mjinga Ni kuumia tu

House girl(dada wa kazi) Ni binadamu aheshimiwe, apumzike, apewe Uhuru wa kuabudu pia
Tena wanadai walaani hivi vitendo viovu sababu unachukia waislamu wenzao ...
 
Hii chungu sana kumeza[emoji123]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…