Mateso wanayopata Waafrika Uarabuni hasa nchi za Saudi Arabia na Oman

Acheni kudanganya watu. Huyo ni punda (mbeba unga) na aliwekwa bondi na wenzie Iran wakachukua mzigo halafu wakawa hawapokei simu. Ndio hao wenye mali wakaanza kumdunda na kuchukua video kuwatumia waliomuweka bondi. Hiyo ilikuwa toka January na tayari keshagombolewa na waliomuweka bondi. Ni mtoto wa Ilala huyo anaitwa Kaburu.
 
Watz wengi wanafosi kingi kwa kuondokea nchi jirani Malawi na Kenya

East and west home is the best
 
Well said Mkuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini wasikimbilie hata ubalozini?
 
Afrika ya kusini ni mgongano wa maslahi (uchumi) ambao unaweza tatulika. Ni watu wenye njaa wanaoshambulia wageni wanaodhani wanakula vya wenyeji wenye njaa. Na lengo ni kuwatisha wageni waondoke africa ya kusini.
Uarabuni wao wana silka ya kuona raha kutesa. Mwarabu akipata fursa atakutesa tu maana anafurahia. Na wakikosa wa kumtesa hutesana wao kwa wao. Fikiria Saudia inachifanya Yemen, fikiria walichomfanya Gadafi, Saddam, Ruhani nk. Fikiria IS na boko haram.
Ni mazingira tu yanawazuia vinginevyo. Waarabu waweza kukubanika kwenye moto ukiwa hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha Umbuzi wewe, mnapenda sana kuwatupia kila baya Waarabu. Huyo ni Muhindi sio Muarabu.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Njaa zenu na ujinga ndio zimepelekea kujipeleka. Wahindi, wafilipino,wabangladeshi na mataifa mengi ya Asia watu wapo kwa mamilioni nchi za kiarabu na wamekuwa wakifanya kazi miaka nenda miaka rudi matatizo yapo.
Wavivu wakitanzanua kuanza miaka hii miwili ni malawama kama nyie ndio umnaohitajiwa kumbe ni njaa zenu. Mwarabu akulipie tiketi na vibali gharama zake ni karibu $3000 -$4,000 halafu mwezi wa kwanza tu unaleta gozigozi ni lazima wakufufirishe maanae hamna jinsi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli kabisa. Kuna mmoja hapo Dodoma alipigwa risasi mchana kweupe mwezi wa 9 mwaka 2017. Alimiminiwa na Weusi wenzie.

 
Wewe unatetea nini hapo mtizame pale......wewe sisi tunazungumza tatizo lililopo wazi wewe unajifanya wakili wa hao watu wa saudia na oman. Haya mbona upo Tanzania. Kwann usiende ili utuonyeshe huo uzuri wao tusioujua?!

Ama haujui hao wanaodhurika ni watoto wa watu si ng'ombe wa kafara na familia zao zinawahitaji sana na kuwapenda. Hebu kuwa na utu pale unapoona tatizo linajadiliwa acha kuingiza ukinzani usio wa lazima.

Hapa tunazungumzia watu wanaodhurika na kuteseka huko oman na Saudi Arabia na sio watu waliopo South Africa. Hebu kuwa na adabu kidogo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo kenge hata msihangaike nae anaonekana hana akili sawa sawa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reactions: Qwy
Tatizo taarifa tunapata na video clip za kutosha ila watu bado wanakuwa wabishi wanataka tu kwenda huko bora tubaki hapa na master wetu CCM kuliko kwenda kuwa na master mwarabu wale wanadharau sana hasa watu wasio wa nchi yao

mpuuzi mpuuzi tu
Tatizo ni yale mapichapicha wanayotazama kwenye TV wakidhani kule mambo ni kama peponi, ukiambiwa kenge hasikii hadi atoke damu masikioni ndo kama hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…