Mateso ya Mdude Nyagali ndani ya kuta za Gereza la Ruanda

Kweli mzee baba hawa wapinzani wameshafanya watu wote wajinga. Michango ya wabunge miaka 5 imeliwa, michango iliyochangishwa wakati wa uchaguzi mkuu pia imeliwa, sasa wanakuja na style nyingine ya kumtumia mdude kama kivutio cha kupiga hela zingine kutoka ktk mifuko ya wajinga
 
Hizo propaganda hazikusaidii KITU,ziko cheap Sana,chamsingi ENDELEA kuwadanganya wanna LUMUMBA WENZAKO...ILA KAA UKIJUA UFIRAUNI NA UKATILI WENU TUNAUJUA....SIKUSHANGAI ,NA NDIO MAANA UNAITWA DUDUMIZI(ndege asiye na kiota)

Sent from my M100 using JamiiForums mobile app
 
Hata wewe utakufa siku moja kila nafsi itaonja mauti

kweli ila mimi sina roho mbaya kama ya kafire na nikuulize hii ni reminder au nini ? Ulishindwa kumkumbusha kafire wakari mzima ili afanye mema unakuja kunikumbusha mimi ?
 
Hivi unajua Chacha Wangwe aliuwawa na nani? Unajua kifo chake kilisababishwa na nini? Unajua ni kwanini Zito alifukuzwa kama Mbwa na Chadema? Unajua alifukuzwa kwa sababu gani? Unajua ni kwanini Mbowe alimwambia Sumaye na wengine waliojifanya kugombea uenyekiti wa chama kuwa "sumu haionjwi kwa ulimi' unajua alichomaanisha ktk hayo maneno? Ukitumia akili yako vizuri( hapa namaanisha achana na ile akili uliyopewa na mwenyekiti wako wa chama) utaelewa ni kwanini watu wanauwawa hovyo huko ktk chama chenu afu zigo la dhambi inatupiwa serikali. Onganisha doti kwa hayo matukio niliyokuandikia hapo juu na mengine ya kina ben saa8 kutoweka baada ya kuachana na mwenyekiti masaa kadhaa kabla ya kutoweka kwake, utanielewa
 
halafu mwenyekiti wala huwaga haongeleagi sana mambo ya kina saa nane maana anajuwa alichowafanya mnabaki nyie huku nje sasa msio na upeo wa kupambanua mnatoana jasho na serikali eti yuko wapi saa nane muulizeni vizuri mbowe kampeleka wapi soma dudumizi alivyowaambia mwenye akili ataelewa asiye na akili aendelee kuuliza serikalini
 
Vijana wa upinzani aka "nyumbu" wengi wapo humu kwa ajili ya malipo madogo ya bando za bure. Inamaana mtu ata akija kumwaga matapishi yake hapa bila kushirikisha akili yake mwenyewe (kumbuka wengi wanashikiwa akili na mwenyekiti) basi ataonekana shujaa na malipo ni bando la buku
 
Roho inauma sana
Dada na ww mjanja mzima unakubali kuingizwa chaka na wanywa gongo. Hapo inatafutwa njia ya kumtumia Mdude kama fursa ya kupiga ela kupitia michango ya watu watakaoguswa kama ww, shtuka dada angu!
 
kweli ila mimi sina roho mbaya kama ya kafire na nikuulize hii ni reminder au nini ? Ulishindwa kumkumbusha kafire wakari mzima ili afanye mema unakuja kunikumbusha mimi ?
Usiwe kama yule mfarisayo aliyejikweza yeye ni mwema kuliko mtoza ushuru ndugu alijikwezaye atashushwa
 
Yupo Jahanamu anakula adhabu ya kaburi... DADEKI..
Usiropoke usichokijua Jpm alitenda mambo mema na alitubu kabla ya kufa sasa jiulize wewe utapata hiyo nafasi ya kutubu sio kumtabiria mtu mwenye Jehanum kwa mihemko ya chuki naushabiki wa upinzani
 
Magufuli limebaki fuvu tu katika muda huu, nalo linashughulikiwa na siafu wenye hasira kali.
 
Usiropoke usichokijua Jpm alitenda mambo mema na alitubu kabla ya kufa sasa jiulize wewe utapata hiyo nafasi ya kutubu sio kumtabiria mtu mwenye Jehanum kwa mihemko ya chuki naushabiki wa upinzani

..alitubu yote, au baadhi?

..pia alitakiwa awa-face aliowakosea na kuwadhulumu, na kuwaomba msamaha.
 
Yupo Jahanamu anakula adhabu ya kaburi... DADEKI..
Hakuna aliyeko jehanam kwa sasa, maandiko yanatuambia siku ya mwisho wafu watafufuliwa ndo hapo kutakuwa na hukumu wa kwenda peponi/mbinguni wataenda na wa jehanam wataenda kipindi hicho.
Saa hizi jiwe kalala zake usingizi mnono. Na kama kweli yaliyosemwa na familia yake kipindi cha msiba kuwa aliwaita viongozi wa dini akafanya toba na kupewa sacrament ya upako that means jiwe anaenda straight kwa Mungu baba.

Na mdude yupo jehanam ya duniani. Life is not fair...
 
Jidaganye tu, anakula "vitasa" / adhabu kaburi... Mmmae zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…