Heri mgonjwa anayejifanya mzima, kuliko mgonjwa anayemponya daktari wa saratani kwa Panadol.”Kwa hiyo, tunajipa matumaini mitano tena!,Kwa sababu tumezoea kusherehekea mzigo kama zawadi, na kuhesabu mate kabla ya kuchinja fisi.Ndio maana CCM wana dola na tutawaongezea mitano tena😏
Kwahiyo hicho nilichoandika umeona kwamba ni sahihi?Fursa au neema nyingi huwa zinaangukia wale ambao tayari wamebarikiwa, walio na uwezo, au walioko kwenye mfumo unaowapendelea