Cannabis JF-Expert Member Joined Jan 20, 2014 Posts 14,241 Reaction score 40,752 Jun 26, 2025 #21 Ndio maana CCM wana dola na tutawaongezea mitano tena😏
Paspii0 JF-Expert Member Joined Apr 10, 2020 Posts 638 Reaction score 1,043 Jun 26, 2025 Thread starter #22 Cannabis said: Ndio maana CCM wana dola na tutawaongezea mitano tena😏 Click to expand... Heri mgonjwa anayejifanya mzima, kuliko mgonjwa anayemponya daktari wa saratani kwa Panadol.”Kwa hiyo, tunajipa matumaini mitano tena!,Kwa sababu tumezoea kusherehekea mzigo kama zawadi, na kuhesabu mate kabla ya kuchinja fisi.
Cannabis said: Ndio maana CCM wana dola na tutawaongezea mitano tena😏 Click to expand... Heri mgonjwa anayejifanya mzima, kuliko mgonjwa anayemponya daktari wa saratani kwa Panadol.”Kwa hiyo, tunajipa matumaini mitano tena!,Kwa sababu tumezoea kusherehekea mzigo kama zawadi, na kuhesabu mate kabla ya kuchinja fisi.
26 Life JF-Expert Member Joined Jan 3, 2025 Posts 828 Reaction score 1,233 Jun 26, 2025 #23 Paspii0 said: Fursa au neema nyingi huwa zinaangukia wale ambao tayari wamebarikiwa, walio na uwezo, au walioko kwenye mfumo unaowapendelea Click to expand... Kwahiyo hicho nilichoandika umeona kwamba ni sahihi?
Paspii0 said: Fursa au neema nyingi huwa zinaangukia wale ambao tayari wamebarikiwa, walio na uwezo, au walioko kwenye mfumo unaowapendelea Click to expand... Kwahiyo hicho nilichoandika umeona kwamba ni sahihi?