Uchaguzi 2020 Mathematically, haiwezekani kwamba Magufuli ameshinda kwa kura bandia!

Ninachokiona, kura za vituoni hazijakwenda kujumlishwa NEC... Kura za vituoni na zile kule NEC ni tofauti...

Ushindi halali kabisa wa kimatokeo ni ule wa jimbo la Nkasi Kaskazini... Alikoangushwa yule babu mwenye kelele Kessy....
Uwezo wako Wa kufikiri ni mdogo mno...samahani lakini huo ndo ukweli.
 
Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.

Milioni 17 hawakupiga kura??

Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..

This is rejection mchana kweupe

If you think this is Maguli rejection, then it could as well be upinzani rejection. This so, because those numbers are enough to make upinzani happy and CCM sad. Those who rejected voting by not voting should have voted and voted for Lissu. Lissu would now be preparing to go to IKULU.
 
Kuhusu watu wazima waliyojiandikisha sioni unabisha nini. TZ katika kila watu wazima wawili kuna watoto wastani wa wanne. Do the math. Ama sivyo, consult National Statistics Bureau utapata hesabu kamili.
 
Tatizo la chadema wako kama laymen .issue ya figures na facts kwao hawana kabisa yaani wana argue kama watu hawajakanyaga hata la pili .Lissu anajiita ati msomi lakini arguments zake hazi amount anyting hajui kama Tanzania ina watu waelewa sana .duu mtu makini angetafuta facts za technical siyo arguments za kujaziwa kura na usalama jadi wanawaaibisha kule kwingine waliowatuma
 
Ukiona unakuwa provoked by facts basi jua huna base za complain zaidi ya emotions...Tulia, kunywa maji halafu tafakari kama kweli madai haya ya wizi yana mashiko au hisia tu mbaya...


Kila siku ninakunywa maji at least 3litres.

Not only I but you as well will suffer another 5yrs of more hardships and torments, you can't be sane by advocating such misconducts and inequivocalities to deter and defile the majority democratic decision through THEFT; --- God is the one who chooses a right person through people's choice, if at all any thing happens contrary to a majority decision then let God be the judge.
 
Your arguments do not hold. Just be open, give specific examples with proof (screen shot) where there were more votes for presidency compared to those who voted for parliamentarians.
 
Nendeni mahakamani? Hao mawakala wenu walikuwa wapi haya yote yakifanyika?
Wewe pimbi mahakama ipi, wakati likatiba lenu lakifala limeweka kinga kuwa uchaguzi wa raisi haupingwi mahakamani? Safari hii utapingwa nje ya mahakama. LIWALO NA LIWE. Tumechoka ushenzi wenu.
 
Walikuwa na njaa wakakaribishwa ubwabwa wenye usingizi. Ghafla wamelala kazi ikaendelea
 
Nina kubaliana na wewe. Ushindi wa asilimia 84 (kura milioni kumi na mbili na nusu) ni mkubwa sana kwa rais Magufuli, vile vile kura milioni mbili ni chache sana kwa Tundu Lissu. Hata kama tathmini ikifanyika sidhani kama Tundu Lissu anaweza akawa amechaguliwa na watanzania walio wengi. Kurudia uchaguzi sio haki kwa watanzania walio mchagua rais Magufuli.
 
Waliojiandikisha milioni 29
Magufuli kapata million 12.

Milioni 17 hawakupiga kura??

Hawa milioni 17 wangekuwa na imani na
Uchaguzi wasingegoma kupiga kura..

This is rejection mchana kweupe
Hapana, hao watu milioni kumi na saba tayari walikuwa wame jiandikisha. Hawa kupiga kura kwa hiari yao
 
I think the disparity in votes counted between President Magufuli and Tundu Lissu is just too large. Tundu Lissu was just not elected by the majority of Tanzanians
 
Hakuna uchaguzi Tanzania kilichofanyika ni CCM kuulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi kwa njia haramu za kishetani
 
Lakini tofauti ya kura milioni kumi ni kubwa sana. Tundu Lissu hawezi kusema kwamba ameshindwa kwasababu ya udanganyifu. Hali halisi ni kwamba haku chaguliwa na watanzania walio wengi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…