KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Naleta swali hili kwenu nyinyi wataalum wa hesabu. Je, Mathematics inaweza kutufunulia siri za ulimwengu..?
Nimekuwa nikisikia kuwa hesabu na matendo yake kama tutaweza kuzitumia vyema basi tunaweza kutambua siri kadhaa za ulimwengu!!.
Inamaanisha hesabu ni lugha ya ulimwengu so ni vile tu tunavyoweza kuitumia ili itupatie majibu sahihi,Pia nimeweza kuona hata yule injinia wa maswala ya umeme alishawahi kusema namba 3,6 na 9 ni funguo za ulimwengu!!!! By Nikola Tesla. Kwanini Nikola alinena hili..?
Swali langu ni kivipi na je,imeshawahi kufanya hivyo kutufunulia siri za ulimwengu..?
Kama zipo naombeni na mifano!.
Katika fikra zangu chache niliweza kufikiri kuhusu hili ila niliona kama ndio inawezekana japo sina hakika ila chaajabu nilikuja kuona kama hesabu zetu still zipo very low!
Msiulize kwanini maana bado nina Loading..😅
Yani nachoona kama still Kuna kanuni fulani hivi hatuzijui na ndio maana hata hesabu zetu kama zipo very low!.. hii ikanifikisha hadi kwenye fikra za kujiona kuwa sisi ni high intelligent ila nikaona sisi ni kama punje tu ya intelligent iliyopo ulimwenguni!.
Nahisi bado tuna safari ndefu mno ya kuisemesha lugha hesabu hadi itupatie majibu!.
Nimechokoza mada karibuni mnielekeze kuhusu hili..