Achana na hesabu aisee Kwan ndo kila kitu Ila sii hesabu zenu za Darasani hizi.
Kuna mwaka nilienda Kwa mtabiri mtabibu nilikuwa nashida yakuuza kitu kinathamani ya pesa ndefu Sana wateja wanapita yule mshenzi sana hivi Unajua utabiri na Siri zijazo zahuu ulimwengu ni hesabu. SASA alipiga Hesabu zake Yule Mzee nachungulia Kwa mbali akapata number 96 akagawa gawa pale ikabaki 3 izi elimu zengine watu sijui wanapata wapi akanambia mambo matatu.
1. Nitapata KAZI za kusafiri Mwezi watatu ulikuwa mwezi unaofata.
2. Akanitajia jina la mwanamke akanambia huyu mwanamke ni hatari muepuke kaa nae mbali kabisa utaona mabadiliko kwenye maisha yako japo hamjui ninani kwangu
3. Ninachotaka kuuza nitauza mwezi wa tano nikapewa namazagazaga.
Kilichofata
1. Mwezi watatu nikapokea simu nikapata Kazi connection kutoka Kwa rafiki kampuni kubwa Tu ya Logistics Dar es salaam full kusafiri.
2. Nilikata mawasiliano na wanawake wote niliokuwa nauhusiano nao wenye jina nilopewa maisha yakaanza kubabadilika.
3. Mwisho nikafanikiwa kuuza nilichotaka kuuza ulipofika mwezi wa tano Tarehe za mwanzo kabisa.
Achana na kitu kinaitwa Hesabu Siri zote zipo kwenye Hesabu kwenye huu ulimwengu hata ukitaka kujua sku na Tarehe yakifo chako utapewa.