Moja kati ya vitu ambavyo siamini kabisa ni Simba kushinda moja kati ya mechi yoyote walizobakisha.Vita anampiga al ahly..anapanda hadi nafasi ya 3...simba anapoteza kwa soura...wanapanda hadi nafas ya 2...simba anashika mkia, then..mech za mwisho...simba anamkalisha vita..anarudi nafas ya 2...soura analala kwa al ahly..al ahly anavuka..so simba ni suala la mda tu..robo fainali ilee yaja!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugumu unakuja hapo kwamba Simba ishinde leo.
Wana Nguvu moja wanalisahau hili Mkuu. Hawajui jamaa pia naye anahitaji matokeoNiwakumbushe tu kuwa Soura nao wanahitaji washinde ili kujiweka nafasi nzuri zaidi.
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Review kwa makini Game za Simba ugenini, hashuki chini ya 3 leo.
Yule mwenzako kaweka thread humu eti Simba mwisho point 3simba hata wadhikiri uchi hili kundi watamaliza wa mwisho
Anaocheza nao sio wakali sana so kishkaji anachukua kamoja anarudi bongo kuendelea na ligi.Review kwa makini Game za Simba ugenini, hashuki chini ya 3 leo.
As vita kwanini asiweze kumfunga al ahaly? Kama Simba ameweza? Acha kuota Leo Simba anaweza kuwa namba 4Tuwe wakweli tu jamani...mechi ya Kesho kwa simba itakuwa sio lele mama kama wengi wetu tunavyofikiri..suala la kushinda ni gumu sana japo sare inawezekana tukijipanga na matokeo ya sare yatatuweka pazuri zaidi...na nina matumaini kesho AS Vita haiwezi kumfunga Al Ahly labda watoe sare cos Ahly ana hasira za kupoteza mechi ya Simba.
Acha waje Mimi nawamudu hawa mbumbumbu fc.Hahahaaa. Kama naona watakavyokuvaa na Povu ndugu zangu wa Nguvu Moja.
ThubutuuuIkitokea tumeshinda Leo mtani, na alhaly akampiga vita ama Ku draw nae tunajitingia zetu robo fainal Leo Leo hii. Majirani mtatafuta sehemu ya kujificha kwa mda
Nitakuwepo yele mkuu maalumBaadae ntakuita hapa boss, usije ukajificha
Vita in timu Kali sana atashinda mechi zake zote zilizobakiAs vita kwanini asiweze kumfunga al ahaly? Kama Simba ameweza? Acha kuota Leo Simba anaweza kuwa namba 4
Ewaaaaa. Ila saa hii Presha zimeanza kuwapanda hawatasogea mpaka kikieleweka kesho ndio watakuquote kumwaga Povu zao.
π π π Mtani nimeikumbuka ile ndoto yako eti. πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ