Van pebles
JF-Expert Member
- Oct 23, 2018
- 2,861
- 5,305
JS Sauora 1-2 Simba[emoji28][emoji28][emoji28] Mtani nimeikumbuka ile ndoto yako eti. [emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088]
MTANI JIPANGE. 😎😎😎
Kwa roho yangu ilivyo mbaya,, AS Vita ashinde ili awe na point 7! Kifupi siipendi Simba!Kesho tar 9.3.2019 Simba inajitupa uwanjani kukipiga na J's Saoura na kabla ya mchezo huo As Vita watamenyana na Al Ahly, je matokeo ya mechi hii yaweje ili iwe advantage kwa Simba?
Ila leo itabd uvumilie tu maan Simba anashindaKwa roho yangu ilivyo mbaya,, AS Vita ashinde ili awe na point 7! Kifupi siipendi Simba!
Apa nyumban tushaanda mziki kwa ajili ya mkesha unakaribishwa mtaniMTANI JIPANGE. [emoji41][emoji41][emoji41]
Odds Soura 1 vs Simba 9..wachezeshaji kamari wajinga
Apo sijakuelewaOdds Soura 1 vs Simba 9..wachezeshaji kamari wajinga
Nifafanulie wengn hatuchez kamarOdds Soura 1 vs Simba 9..wachezeshaji kamari wajinga
Yanga je?simba hata wadhikiri uchi hili kundi watamaliza wa mwisho