macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ndugu, watawekaje uislamu pembeni?? waache kuwa-waislamu khaa...huko chadema hakuna uislamu ebo mbona balaa sasa...onyesheni uso zenu...uislamu ni zaidi ya chama/siasa... be infomed.
Thanks AppreciateI get you sir!!
Kama kweli CUF ina nia njema na ukombozi wa watanzania waungane na chadema kiwe chama kimoja kwani CUF bado wanakampumzi Zanzabar na Chadema wanapuma kwa kasi Tanganyika itaweweka pazuri sana kupambana na CCM la sivyo Cuf itakufa taratibu kama NCCR na TLP.
rmashauri..
Kwenye dini ya kiislam unapoona muislam mwenzako anapambana na mgalatia ni mwiko kabisa kumtupa hata kama unajua ametenda makosa mabaya... hivyo usitegee Game theory amseme vibaya Ustaadhi Idrisa wa tanesco au Prof. Lipumba amseme vibaya sheikh Rostam Aziz...
kumbe siwapendi CCM......najihisi kama vile nina furaha
Ingawa matokeo rasmi hayajatangazwa, CHADEMA wameweza kuwashinda kwa karibu kabisa CCM kwenye uchaguzi mdogo uliofanyika Biharamulo hii leo.
Mpaka zinapatikana hesabu za mwisho CHADEMA ilikuwa ikiongoza kwa 50.4% huku CCM ikiifuatia kwa karibu ikiwa na asilimia 49.3% ya kura zote.
Matokeo yanatarajiwa kutangazwa rasmi punde
Lakini matokeo ambayo yamejumlishwa mpaka mwisho ni haya:
CHADEMA: 17,367
CCM: 16,483
TLP: 184
Turnout ilikuwa 33% (incredible!)
Macho mdiliko maana yake mtu hasiye ona ukweli na kukumbatia uongo. Na hapa umedhihirisha wazi kabisa... Hoja zako haziwezi kusimama zenyewe mpaka uongope!?rmashauri..
Kwenye dini ya kiislam unapoona muislam mwenzako anapambana na mgalatia ni mwiko kabisa kumtupa hata kama unajua ametenda makosa mabaya... hivyo usitegee Game theory amseme vibaya Ustaadhi Idrisa wa tanesco au Prof. Lipumba amseme vibaya sheikh Rostam Aziz...
Don't read too much into this. Local politics are not necessarily national politics. Kwa vile jimbo hilo tayari lilikuwa upinzani hivyo aliyeanguka zaidi si CCM bali TLP. Ndio maana ushindi wa Tarime pamoja na ukubwa wake wote ulitafsiri jambo moja tu nalo ni kurudisha jimbo mikononi mwa Chadema.
Hadi hivi sasa katika chaguzi hizi ndogo, Chadema haijaweza kushinda jimbo la CCM. Imeshindwa Tunduru, Kiteto, na Mbeya Vijijini. Na hii utaona tofauti kubwa ya jinsi gani CCM inapeleka nguvu zake. Huwezi kulinganisha jinsi CCM ilivyopania kuichukua Busanda na jinsi ilivyopandia kuichukua Biharamulo.
Jambo kubwa ambalo ni zoezi kwa chadema ni jinsi gani kuweza kushinda sasa
kwenye majimbo ya CCM maana sasa hivi hakuna tena uchaguzi mdogo hadi uchaguzi mkuu mwakani.
Ninachokiona sasa ni CCM kuanza kujipanga kuyakomboa majimbo ya upinzani na kuyarudisha CCM.
Na suala la kuungana mimi nilishassema mapema, hakuna ulazima wa Chadema kuungana na chama kingine bali kujijenga ili kiweze kuwa chama mbadala na hili ni kweli kwa CUF vile vile. Endapo kutakuwa na ulazima wa kuungana basi ni muungano wenye kuunganisha fikra, sera, katiba, mitazamo n.k na siyo muungano wa kuiondoa CCM.
Si kama huwapendi CCM, ni kuwa nafsi yako inahitaji 'mabadiliko' na yanapotokea nafsi yako inafarijika kwa namna flani hivi...kumbe siwapendi CCM......najihisi kama vile nina furaha
...taratibu mzee, unamaanisha Prof. Lipumba akikaa na laptop yake pale Buguruni anaandika na kuita waandishi wa habari na kusemea lolote analotaka akisema ni msimamo wa chama chake?
Chuki zinakusumbua kijana kiasi ya kwamba likitajwa neno Uislam matumbo yako yanaunguruma. lol!Tehetehetehetehetehetehetehetehe,
Mzee kwa mtindo huu basi hatuwezi kuwa na wapiganaji halisi wa kiislamu maana kwao ni dini kwanza na maslahi ya nchi baadae, kitu ambacho ni hatari sana kwa maendeleo ya nchi zetu zenye machanganyiko wa dini.