Songambele
JF-Expert Member
- Nov 20, 2007
- 4,710
- 2,587
Mkuu upo very shallow! Ina maana kubebwa haiwezi kuwa kinyume chake, kwamba mpinzani wako akapewa goli, akapewa penati, akaachiwa acheze offside, akaachiwa acheze rafu nk? Sio lazima kila mtu awe mchambuzi, ungenyamaza tuBinti hivi wewe unalijua soka au udandandia kwa vile "IMESIMAMA" .......???
Chukua hii ujue maana ya kubebwa.
1.Inatakiwa mufunge magoli kisha uone yamekataliwa.
2.Unastahili penalti lakini refa anapeta.
Nilisema toka awali mechi itakuwa sare
Hizo zimetokea ngapi ..........???Vipi na kuhusu hii[emoji116]
Je unaweza kuitolea ufafanuzi?View attachment 410403
Mikia mngeshinda huu mji leo ungekumbwa na tetemeko! Yaani nyie kila siku mnaonewa mechi inayokuja basi refa awe Haji Sunday.
Daa imeniuma sana kutoka dro na mnyama
Ngoja nikuite wewe ni mpumbavuMikia mngeshinda huu mji leo ungekumbwa na tetemeko! Yaani nyie kila siku mnaonewa mechi inayokuja basi refa awe Haji Sunday.
Kumi na nne(14) wachezaj 11 na marefa 3Tumeliona ni balaaa,na kandambili wamecheza 12
Wakati huo huo anakuacha wewe ufunge,bila kulazimisha kuwa umezidi au kukupa kosa lolote litalokunyima goli.........Huku sio "kubebwa" kama anakubeba pia atahakikisha hufungwi.Mkuu upo very shallow! Ina maana kubebwa haiwezi kuwa kinyume chake, kwamba mpinzani wako akapewa goli, akapewa penati, akaachiwa acheze offside, akaachiwa acheze rafu nk? Sio lazima kila mtu awe mchambuzi, ungenyamaza tu
Ngoja nikuite wewe ni ********
leo nimechukia saana , waamuzi wameiua simba makusudNachukua nafasi hii kuwapongeza viongozi wachezaji wanachama Na mashabiki wote wa Wekundu wa Msimbazi.Yaliyotokea uwanjani wote tumeyaona TFF wamempanga Refa Na kumpa maelekezo, goli la mkono,Refa kakataa goli lakini Mungu akafanya atakayo pamoja Na kubebwa kote Simba 1 Yanga 1.Watanzania kandanda waliloonyesha vijana wa Msimbazi wote mmeliona.