Matokeo chanya kwa Simba

Matokeo chanya kwa Simba

Mikia mngeshinda huu mji leo ungekumbwa na tetemeko! Yaani nyie kila siku mnaonewa mechi inayokuja basi refa awe Haji Sunday.
 
Binti hivi wewe unalijua soka au udandandia kwa vile "IMESIMAMA" .......???
Chukua hii ujue maana ya kubebwa.
1.Inatakiwa mufunge magoli kisha uone yamekataliwa.
2.Unastahili penalti lakini refa anapeta.
Mkuu upo very shallow! Ina maana kubebwa haiwezi kuwa kinyume chake, kwamba mpinzani wako akapewa goli, akapewa penati, akaachiwa acheze offside, akaachiwa acheze rafu nk? Sio lazima kila mtu awe mchambuzi, ungenyamaza tu
 
Refa alipanga kumaliza mpira dakika ya 85, bahati mbaya akashtukizwa na goli la Kichuya, sasa sijui atamwambia nini YM, na hela ameshatumia!
 
Mkuu upo very shallow! Ina maana kubebwa haiwezi kuwa kinyume chake, kwamba mpinzani wako akapewa goli, akapewa penati, akaachiwa acheze offside, akaachiwa acheze rafu nk? Sio lazima kila mtu awe mchambuzi, ungenyamaza tu
Wakati huo huo anakuacha wewe ufunge,bila kulazimisha kuwa umezidi au kukupa kosa lolote litalokunyima goli.........Huku sio "kubebwa" kama anakubeba pia atahakikisha hufungwi.
 
Harafu kumbe refa Ni mdogo WA mzee Akilimali....TFF chenga Sana
 
Nachukua nafasi hii kuwapongeza viongozi wachezaji wanachama Na mashabiki wote wa Wekundu wa Msimbazi.Yaliyotokea uwanjani wote tumeyaona TFF wamempanga Refa Na kumpa maelekezo, goli la mkono,Refa kakataa goli lakini Mungu akafanya atakayo pamoja Na kubebwa kote Simba 1 Yanga 1.Watanzania kandanda waliloonyesha vijana wa Msimbazi wote mmeliona.
leo nimechukia saana , waamuzi wameiua simba makusud
 
Mechi ilikuwa nzuri sana ispokuwa umakini mdogo wa maamuzi umepunguza sana radha ya Mechi hii.
 
Back
Top Bottom