Magwangala
JF-Expert Member
- Oct 4, 2011
- 2,836
- 2,138
Ni upuuzi kumwacha Juuko nje yaani ni kama Mourinho kumwacha nje Matanapiga picha simba ingefungwa leo, sababu ya kwanza ingekua ni refa ya PILI ni kocha kumpanga Lufunga
1.Simba wamefunga goli safi la Ajib limekataliwaBinti hivi wewe unalijua soka au udandandia kwa vile "IMESIMAMA" .......???
Chukua hii ujue maana ya kubebwa.
1.Inatakiwa mufunge magoli kisha uone yamekataliwa.
2.Unastahili penalti lakini refa anapeta.
Lakini yanaweza ku influence new rules.Huu mchezo hauhitaji hasira mkuu, so kwa kung'oa viti wametatu tatizo? maamuzi duniani yako ya aina mbili kuna maazui ya akili na ya jazba haya yalikua ya JAZBA tu, ndio maana nasema ni hali nje ya UTASHI WA BINADAMU......haijawahi kutoke maamuzi ya refa yakabadilishwa kwa kung'oa viti
Katokea MorogoroNimeskia ametokea Arusha ila sina uhakika
Ujaona gori limekataliwa au umeadithiwa tuBinti hivi wewe unalijua soka au udandandia kwa vile "IMESIMAMA" .......???
Chukua hii ujue maana ya kubebwa.
1.Inatakiwa mufunge magoli kisha uone yamekataliwa.
2.Unastahili penalti lakini refa anapeta.
Alilofunga Ajib lilikubaliwa?Hizo zimetokea ngapi ..........???
Tunaongelea neno "kubebwa" ambalo mara nyingi ni wewe kufunga goli/magoli kisha refa bila sababu analikataa.