Matokeo chanya kwa Simba

Matokeo chanya kwa Simba

Binti hivi wewe unalijua soka au udandandia kwa vile "IMESIMAMA" .......???
Chukua hii ujue maana ya kubebwa.
1.Inatakiwa mufunge magoli kisha uone yamekataliwa.
2.Unastahili penalti lakini refa anapeta.
1.Simba wamefunga goli safi la Ajib limekataliwa
2.Yanga wamefunga goli la mkono wa wazi limekubaliwa
Huku ndio kubebwa haswaaa
 
Huu mchezo hauhitaji hasira mkuu, so kwa kung'oa viti wametatu tatizo? maamuzi duniani yako ya aina mbili kuna maazui ya akili na ya jazba haya yalikua ya JAZBA tu, ndio maana nasema ni hali nje ya UTASHI WA BINADAMU......haijawahi kutoke maamuzi ya refa yakabadilishwa kwa kung'oa viti
Lakini yanaweza ku influence new rules.

Federation inapaswa kuwa na kanuni za kuhakikisha referees wanaotoa maamuzi ya kupandisha mashabi jazba wanagharimia hasara hizi za kuchochewa
 
Binti hivi wewe unalijua soka au udandandia kwa vile "IMESIMAMA" .......???
Chukua hii ujue maana ya kubebwa.
1.Inatakiwa mufunge magoli kisha uone yamekataliwa.
2.Unastahili penalti lakini refa anapeta.
Ujaona gori limekataliwa au umeadithiwa tu
 
Kumbe refa ametoka kufungiwa kuchezesha mwaka mzima. Ile anatoka kifungoni anapewa Simba na Yanga. Kwakweli TFF walaumiwe sana.
 
Ifikie hatua marefa nao wawe wanapigwa faini kwa uharibifu wa viti,huyu refa Martin Sanya ana historia ya chuki dhidi ya Simba (pengine mahaba kwa Yanga)msimu uliopita katika mechi kati ya Simba na Kagera Sugar aliwapa Kagera penati ya utata dakika ya 90 ,iliyosababisha vurugu kama za leo,viti viling'olewa,Leo tena amedhihirisha mahaba yake kwa kuwabeba Yanga
 
Simba Leo wanasherekea sare [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
 
14523289_1786110514998164_7063868805551134901_n.jpg
 
walichozidi yanga leo ni idadi ya wachezaji tu
14523289_1786110514998164_7063868805551134901_n.jpg
 
Hizo zimetokea ngapi ..........???
Tunaongelea neno "kubebwa" ambalo mara nyingi ni wewe kufunga goli/magoli kisha refa bila sababu analikataa.
Alilofunga Ajib lilikubaliwa?
 
Back
Top Bottom