Matokeo Kidato cha Nne 2013 yatangazwa

afadhali yametoka tuanze kujicheki tuko kundi lipi
asante kwa kutuhabarisha ndugu
matokeo yametangazwa na kaimu katibu mtendaji wa necta dr. Charles msonde hivi punde.

Ufaulu umepanda kwa 58%.

Vijana ni muda wa kuingia kwenye mtandao wa baraza la mitihani (www.necta.go.tz) na kuvuna kile ulichopanda.
 
hii ni kutoka twitter page ya eatv

 
Wadau ni kweli yametoka, naskiliza Clouds FM apa sasa hivi wanayatangaza kwenye kipindi cha Jahazi
 
Wewe mtoto wa kike, acha umbea mbea x 4

Mambo ya zilipendwa hayo. Jf bwana, burudaaani!!
 
HII NI KUTOKA TWITTER PAGE YA EATV

East Africa Radio ‏@earadiofm 18m Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III. #2013MatokeoKidatoCha4

East Africa Radio ‏@earadiofm 26m
Jumla ya watahiniwa 427,679 waliandikishwa kufanya mtihani ila waliofanikiwa kufanya mtihani ni watahiniwa 404,083. #2013MatokeoKidatoCha4

East Africa Radio ‏@earadiofm 25m

Jumla ya watahiniwa laki 235,227 sawa na asilimia 58.25 ya waliofanya mtihani wamefaulu. #2013MatokeoKidatoCha4

East Africa Radio ‏@earadiofm 23m
Wasichana waliofaulu ni laki 106,792 na wavulana waliofaulu ni laki 128,435. #2013MatokeoKidatoCha4

East Africa Radio ‏@earadiofm 20m Wanafunzi 74,324 sawa na asilimia 21.09 wamefaulu katika madaraja ya I -III. #2013MatokeoKidatoCha4

East Africa Radio ‏@earadiofm 18m
Wavulana waliopata daraja la kwanza (division one) ni 5,030 na wasichana ni 2,549. #2013MatokeoKidatoCha4

East Africa Radio ‏@earadiofm 15m
Wavulana waliopata daraja la tatu (Division 3) ni 27,904 na wasichana ni 17,113. #2013MatokeoKidatoCha4



Jumla ya wanafunzi waliopata daraja la 4 (division 4) ni laki 126,828, wasichana wakiwa 62,841 na wavulana 63,987. #2013MatokeoKidatoCha4

East Africa Radio ‏@earadiofm 7m
Jumla ya wanafunzi laki 151,187 wamepata '0' (division ziro) . Wasichana ni 72,237 na wavulana ni 78,950. #2013MatokeoKidatoCha4

East Africa Radio ‏@earadiofm 1m
Shule 10 zilizoongoza ni St.Francis Girls, Marian Boys, Feza Girls, Precious Blood, Canossa, Marian Girls, Abbey #2013MatokeoKidatoCha4

Shule kumi zilizoongoza: Anwarite Girls, Rosmini, na DonBosco Seminary. #2013MatokeoKidatoCha4

East Africa Radio ‏@earadiofm 45s


Zilizofanya vibaya: Singisa, Hurui, Barabarani, Nandanga, Vihokoli, Chongoleani, Likawage, Gwandi, Rungwa, Uchindile. #2013MatokeoKidatoCha4
 
NECTA NI ma------iiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii wanajitangazia kwenye makaratasi yao alafu kwenye web hakuna
 
nisaidie jinsi ya kutafuta mi mwenzio mikono bado inatoa jasho sijajua nimefaulu au la!nielekezeni wapendwa
 
Hao wanaodhan umbea waliokuwa wanarisit so wameshavurugwa kusikia matokeao kwi kwi kwi
 
Matokeo ya Kidato cha nne 2013 yatangazwa, kiwango cha ufaulu chapanda kwa asilimia 15.17 kutoka asilimia 43.08 mwaka 2012 hadi 58.25 mwaka 2013.

Watahiniwa wafaulu zaidi katika somo la Kiswahili (67.77%), na wafanya vibaya zaidi Basic Mathematics (17.78%).

kama nimesikia vizuri Hotmix EATV (excuse my ears) -- Mwanafunzi Robina M. Nicholas - Marian Girls aongoza mwaka huu.
- - wapo Sarafina W. Mariki - Marian Girls
(Pwani), Mereale (St Peter), H. Sembuche- Marian Girls (Pwani) , Sunday Mrutu - AnneMaria(Dar), Nelson Lugora - Kaizirege(kagera), Emmanue Gregory - Kaizirege(kagera), Janeth Urasa - Marian Girls, Angel Mrundi - St Francis(Mbeya)


Je, nini maoni yako kuhusu matokeo haya?




















source : EATV official facebook page.
 

mi nimeona fb kupitis haohao EATV huyu nae antoa ushahid Eatv ndo mana siamin wekebi link ili tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…