Wengi watasema ongezeko la ufaulu lina tija. Ila kwa uhalisia ni bado anguko. The term "kufaulu" kwa mujibu wa NECTA ni dv 1 to 4. Ila mazingira yamwanafunzi wa div 3 with less credits (less than 3 C) katika soko la elimu ya TZ ni less considered if not. Kwa takwimu hizo 42% ni div 0 not far to 58% ya mjumuiko wa div 1 to 4. Bado kuna kirusi katika elimu ya watoto wet. Si ishara njema kuwa na 42% ya watahiniwa kupata zero.