LUBEDE
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 4,320
- 6,686
hii link jawa,haifunguki mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii link jawa,haifunguki mkuu
IshaAllah M/Mungu atamchomoa kwa uwezo wakeSijui dogo atachomoka [emoji45][emoji45]
Aisee sasa ulikuwa unakula chabo husemikuna vizee humu vimechangia kuporomoka kwa ufaulu wa wasichana, you should be ashamed of yourselves
Amina.IshaAllah M/Mungu atamchomoa kwa uwezo wake
MATOKEO KIDATO CHA 4:
Wanafunzi 277,283 (asilimia 70.09) waliofanya mtihani 2016 wafaulu, NECTA yatangaza. Wavulana wafaulu kwa asilimia 73.26, wasichana 67.06.
Shule za Dar zaongoza washika mkia matokeo ya kidato cha Nne.
http://41.188.136.77:8080/matokeo/2016/csee/results/s0367.htmLink pls, nataka nimuangalizie dogo
Hilo link haifunguki mkuu