Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Matokeo Kidato cha Nne 2016 yatoka, Feza Boys yaongoza!

Nisaidieni,ukitaka kuangalia matokeo ya private candidates unaangaliaje?
Unaingia labda Google . Unaandika shule uliyofanya. Watakuletea. Hata ukiandika number ya mtihani na shule watakuletea. Ni simple tu.
 
Seminary cku hizi hazifaulishi tena kama zawani

Maua,Uru, St James, USA Seminary......sizikiii tena, What went wrong? ....................................................What went What? What went Wrong
Mkuu hizi shule nazo zimegeuka biashara, mafather hawaangalii tena sifa na vigezo za kujiunga seminary, kinachofanyika sasa ni aibu, mwenye mpunga ndo anapata nafasi..!
 
server zao ziko getto ndo maana hazifunguki ziko overloaded
 
He!! Matokeo ya mwaka jana si shule za serikali ziliongoza ghafla. Imekuwaje tena hamna hata moja iliyoonja kumi bora?
 
Wakati tunasoma Mazengo Technical Secondary school enzi zile, ulikuwa unawaza hivi "'sijui nitachomoka na ONE ya ngapi!?

GOD help boys and girls of these days. Mtoto wa form one anaijua na ni member kwenye mitandao yooote ya kijamii!
Sure mkuu..hawa wadogo zetu wanashida saana.
 
Back
Top Bottom